Poor language skills in Tanzania

mdawa

Senior Member
Oct 29, 2010
104
37
It is sad that most Tanzanians are very poor in language even Kiswahili which is our mother tongue and national language. This is proven when you read the newspapers, listen to radio, public addressings in ferry, airport etc, and even in Jamii Forum postings. I thought news presenters should have been the best in language because it is their profession but alas! it is the contrary. The media bosses do not even see the problem. Where is BAKITA with regard to Kiswahili. Is it not existing anymore? This is sign of a country that has lost track.
 
Sasa hapa umeandika KIHAYA au KICHAGA?

"..news presenter .. best in language .. it is the profession.." VERY SAD INDEED!
 
Uliyosema ni kweli. Lakini ingependeza zaidi kama hoja hii ya kutetea Kiswahili na wewe ungeiandika kwa lugha hiyo hiyo! Sasa we uko biiize na kizungu...
 
Wewe unaandika au unasoma, hiyo lugha uliyotumia kuandika ni kama unaonga, makosa mengi ya kisarufi. Kiswahili ni lugha ya taifa ndiyo, kwa taarifa yako ni asilimia chache sana ya watz, kiswahili ndo lugha mama. Kuna tofauti kubwa sana kati ya kuandika na kuongea ndugu yangu. Pamoja na yote, ni kweli kabisa kuwa baadhi ya watangazaji (taaluma ni uandishi wa habari) huwezi kuwaita ni wanataaluma kwani wameokotwa kama vitendakazi rahisi. Jifikirie tena kabla ya kuandika hapa
 
It is sad that most Tanzanians are very poor in language even Kiswahili which is our mother tongue and national language. This is proven when you read the newspapers, listen to radio, public addressings in ferry, airport etc, and even in Jamii Forum postings. I thought news presenters should have been the best in language because it is their profession but alas! it is the contrary. The media bosses do not even see the problem. Where is BAKITA with regard to Kiswahili. Is it not existing anymore? This is sign of a country that has lost track.

Nitajibu kwa kiswahili maana ni lugha yangu ya taifa.

Nakusahihisha: Kiswahili kwa kiingereza tunasema Swahili siyo Kiswahili.
 
Pamoja na upungufu wa kisarufi katika mada hii, pamoja na kuwa ingekuwa bora kuandikwa kwa Kswahili, bali kuna ukweli kuwa Watanzania tuna matatizo na lugha zetu (hapa nakusudia Kiswahili na Kiingereza).

Kwa sasa, tatizo la vijana kutoelewa au kutodhibiti vizuri lugha zao mama, si Tanzania tu bali hata kwa nchi nyengine kama vile Ujerumani na Uhispania ambako wasomi wanalilalamikia sana. Lakini hili linaweza kurekebishwa kwa kuongeza juhudi na kuvumbua mbinu za kufundisha hizi lugha mama. Tatizo linakuja kwa Tanzania ambapo bado hatuna msimamo juu ya lugha gani mwafaka ya kufundishia vijana wetu.

Tayari wengi wameshasema hapa kuwa sera yetu ya sasa ya lugha ni mbovu: mtoto kuanza na Kiswahili shule za msingi na kuendelea na Kiingereza kwa elimu ya sekondari. Iko haja kuwa na mjadala wa kitaifa wa kuamua moja na kulitekeleza kwa dhati.
 
Uliyosema ni kweli. Lakini ingependeza zaidi kama hoja hii ya kutetea Kiswahili na wewe ungeiandika kwa lugha hiyo hiyo! Sasa we uko biiize na kizungu...

Ni tatizo la kuwa mhaya... Kuhisi kuandika kizungu ndo kuelimika,ubwana na yote mema!
 
ni kweli, hatuko serious na lugha, wengi wetu hatujihi kiingereza, basi hata kiswahili nacho tukiheshimu, chukulia mfano kenya sasa hivi wanaongea kiswahili fasaha, baada ya miaka kumi, utasikia dunia,kenya ndio asili ya kiswahili
 
basi hata kiswahili nacho tukiheshimu, kwa kusema hatujui, na sio hatujuhi!
 
Sio watz tu!wasakilze Wanigeria,wahindi hata wasouth wanamakosa mengi tu ya kisarufi,hasa katika kuweka mkazo wa neno au maneno waliosoma HKL,HGL,KLF na lugha ktk vyuo vyetu wanaelewa,ndio mana ukiongea na anayejua lugha pardon ztakuwanyingi sana,hii inatokana kuathirika na lugha zetu mama yaani za makabila au kutokana na hadhi ya muongeaji.
 
True dat, mara kwa mara nimekuwa nikiwasikia watangazaji wa redio wakisema "wakati wa kusheherekea sikukuu" badala ya kusema "wakati wa kusherehekea sikukuu"
 
Unachokisema kinaweza kuwa na ukweli kiasi fulani ila mimi naona hii mada yako ungeiandika kwa hiyo lugha ya kiswahili ingeleta ujumbe zaidi.
 
Back
Top Bottom