My Son drink water
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 4,932
- 13,283
Unapochaguliwa kuwa Rais wa nchi ni lazima kwanza uhakikishe kuwa Intelligence ya Taifa unaloliongoza iko imara kuliko chochote.
Yaani hata panya lazima ujue anawaza nini,siyo rahisi kwa Taifa lenye Intelligence imara kukumbwa na mapinduzi ya kijeshi,labda yawe organized na Taifa kubwa,na hata hapo kila element inayoinuka kinyume chako lazima uifyekelee mbali.
Rais Alpha Konde yalimkuta kwa sababu ya poor Intelligence system,Mr Slim hapendwi kabisa na watu wake ila strong Intelligence system inamwokoa sana yule Bwege.
Ndo maana huwa anawafuata na kuwafyekelea mbali hata nje ya Taifa lake.
Haiwezekani kiongozi una mfumo imara wa Intelligence halafu kamanda wa makomandoo ana organize kikosi na kukufuata Ikulu,na kisha hata waliokuzunguka Ikulu wanashindwa hata kukutorosha kisha unakamatwa kama kuku na kutupwa Lupango.
Hayati Hussein Mubarak hakujua kuwa Chief of army aliutamani sana Urais wake.
Siamanishi madikteta wasitolewe madarakani ,nazungumzia jinsi uimara wa Intelligence ktk Taifa ulivyo na nguvu.
Intelligence huwa haifeli popote,kwa mfano Rais kachokwa kabisa na wananchi ,ni kazi ya Intelligence system kumshauri Rais astaafu kwa amani ili kulinda heshima yake.
Mossad wanalala kwenye sebule ya Ikulu ya Iran ndo maana wanasayansi muhimu wa Nuclear wa Iran waliuawa wote ndani ya ardhi ya Iran na hakuna hata jasusi mmoja wa Mossad ambaye Iran ilifanikiwa kumkamata.
Jasusi la mwisho kufanya mauji Iran lilikuwa jasusi la kike lililoingia Iran Kama mtalii kutoka Australia,hii medani ukiijua vizuri hata mkeo akichepuka lazima ujue hata ajikaushe vp.
North Korea inajivunia Intelligence system imara na si nguvu za kijeshi Kama wanavyodhani wengi.
South Korea kuna maelfu ya majasusi kutoka North Korea walioingia humo Kama Defectors.
Na hutuma Taarifa za siri kila siku kwa mbinu iliyojaa uhodari wa kupindukia.
Mtu wa kwanza na wa mwisho kumlinda Rais huwa ni Rais mwenyewe.
ITAENDELEA