Pongezi zangu kwa sugu na mnyika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pongezi zangu kwa sugu na mnyika

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by ZLATAN, Nov 1, 2010.

 1. ZLATAN

  ZLATAN Senior Member

  #1
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 5, 2010
  Messages: 151
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  PONGEZI ZANGU:

  NDG ZANGU WA-TZ, NAPENDA KUCHUKUA FURSA HII KUWAPONGEZA SUGU NA MNYIKA KWA KUFANIKIWA KWAO KUINGIA BUNGENI.

  HASA UKIZINGATIA SUGU WENGI WETU TUNAFAHAMU TOKA ENZI ZILE ANATOA UJUMBE KUPITIA BONGO FLEVA. MNYIKA NILIMFUATILIA TOKA 2005, NILIKUBALI POINTS ZAKE, NA NI MIONGONI MWA WAGOMBEA WACHACHE WA CHADEMA WENYE HEKMA WAKIWA JUKWAANI. ALIPOKOSA UBUNGE THAT MOMENT NILISIKITIKA SANA.

  FRANKLY, MIMI NI CCM DAMU, BUT I DO APPRECIATE THEM.

  CONGRATS BROTHERS.

  MASIKITIKO YANGU:

  NASIKITISHWA NA NATUSI/KEBEHI/DHARAU/UTOVU WA ADABU/UFEDHULI UNAOENDELEA KWA BAADHI YA WADAU WA JAMII FORUM, BAADHI SIO WOTE.
  KWA MFANO KWENYE TOPIC YENYE TITTLE ''[FONT=&quot]Nipeni Report za PANGA LA CHADEMA kwa Anne Kilango na Wasira jamani''[/FONT]


  [FONT=&quot]BAADHI YA WADAU WAMEIFANYA ICHEFUE KIDOGO KUTOKANA NA MATUSI NA KEBEHI, NNAKUBALI YAPO MANENO YA UTANI LAKINI SIO YALE.[/FONT]
  [FONT=&quot]
  [/FONT]
  [FONT=&quot]KUNA SEHEMU KIWETE BADALA YA KIKWETE, ILA HILO NAFUU LIMEKAA KIUTANI KIDOGO, AU KILANGGO KUITWA ASHA NGEDERE....NAYO IPO KIUTANI PIA KIMTINDO.[/FONT]

  [FONT=&quot]
  [/FONT]
  [FONT=&quot]MBAYA NI SLAA KUITWA NGEDERE NA WASIRA KUITWA SOKWE, HAIJAKAA VIZURI, HAWA NI WANADAMU WENZETU, WATANZANIA WENZETUI, HASIRA ZA UCHAGUZI ZISITUCHUMISHE DHAMBI MBELE YA MUNGU.[/FONT]


  NO NO NO NO, THAT WAS NOT FAIR, ITIKADI ZA VYAMA ISIFANYE WATU WAITANE MANENO YA AJABU, WHAT IF BABA'KO AKAITWA SOKWE? WATU WASHINDANE KWA HOJA NA SIO MATUSI, NASHANGAA INVISIBLE HAONI HILI WALA KUKEMEA, MCHIZI YUKO BIAS SANA. MATUSI NI NJIA YA KUMTAMBULISHA MTU ASIYE MAANA KATIKA JAMII, HII NI SIASA, MAMBO YATAKWISHA NA MAISHA YATAENDELEA.


  MWENYE AKILI TIMAMU ATANIELEWA, ILA KAMA NEURAL ASSOCIATION CONDITION(NAC) ITAKUWA APPLIED, HATA MUAMBIWE NINI MTAPINGA NA KUTUKANA.


  HONGERA JK, HONGERA CCM:israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel:.
  MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU IBARIKI AFRIKA.

  [FONT=&quot]
  [/FONT]
   
Loading...