Pongezi za wanaJamiiForums kwa Rais Magufuli kwa kupambana na wahujumu wa madini yetu

Pongezi za nini wakati ni moja kati ya majukumu yake!Nitampongeza akimaliza matatizo yote ya msingi sasa hivi bado mapema sana.Ataota mapembe wakati safari bado ndefu.Kwanza.
 
Pongezi za nini wakati ni moja kati ya majukumu yake!Nitampongeza akimaliza matatizo yote ya msingi sasa hivi bado mapema sana.Ataota mapembe wakati safari bado ndefu.Kwanza.
Hata sikumoja usitegemee mwanadamu kumaliza matatizo yako.
 
maxresdefault (1).jpg
 
Kwa kweli katika Taifa ambalo Wabunge hawana Kazi na Wanakula hela za bure ni wabunge wa Tanzania.Kwa kweli sisi ni vilaza hivi mtu kama Msukuma,Milinga,Lusinde anamuchagua awe mwakilishi yani ni dhambi hata Mungu mwenyewe anatucheka
Wewe hao wote ni wabunge wako?
 
magufuli ni mchumia tumbo km walivoccm wote....ameshindwa na ama amedanganya kila alichowahi kusimamia
1. Samaki wa magufuli alishindwa na kuliinhizia taifa hasara kubwa
2. Lugumi hiyo yeye yumo na imemshinda hawezi kujichukulia hatua
3. Kivuko kibovu alileta yeye wala hajajikamata na kujishitaki
4. BASHITE tu amemshinda sembuse Marais waliopita ambao alishasalimu amri hadi kuteua mke wa rais kuwa mbunge
5. Hajaweka mezani mkataba wa chatointernational airport???!!
6. Yeye binafsi hajaweka wazi mkataba wa bormberdier watz wanajua dili alizofanya yeye binafsi....
7. Hajaonesha hata nukta ya uzalendo kwa yale ambayo yeye binafsi ameshinikiza na kupazimishwa yafanyike.
8. Watz mtachezeshwa sn shere na ccm hukumnawalaumu wazungu na wachina kwa kiwaibia wkt wezi wenu ni ccmmnaowachekea
 
Lini tena bunge na wanaccm wataandamana kwa kuwakamata rugemarila na Habindersing seti?
Na watakataa kabisa kama hawa kupiga makofi kikwete aliposema pesa sio zetu!

NChi hii bila unafiki haiendi
Ukitafuta waliotufikisha hapa kwa majina utakuwa unapoteza muda bure.....maana ccm wanashirikiana kupitisha uchafu wote tena kwa kuitwa na kupigwa beat na mwenyekiti kwa mtu atakayepinga miswada bungeni. Hii mimbwa ikiishaitwa na mwenyekiti kazi inayobaki nimiwachokoza wapinzani wenye akili nyingi kwa kutumia uwingi wao (wengi wape hata km ni wapumbavu na mabashite km ccm? Hapa wahenga sikubaliani nao katu....)
Tena haya malafi makubwa ccm yanapitisha haya mambo huku yakitukana watz matusi ya nguoni na kwa kejeri na dharau huu huku hii mafisadi ikipiga tu makofi....
Watz hawaitaki lkn inalazimisha kukaamadarakani kwa mabavu kwa goli la mkono bara na kwa kupora ushindi wa wazi visiwani
Shame I you ccm
 
Nitampongeza at a kappa at I kish a mahakamani wahusika bila upendeleo.
Sio kama alivyofanya vyeti feki . baadhi wamefukuzwa wengine wameachwa wanapeta Dar. Kisa eti Mimi ndio ninaeteua. Wakati wrote haki huinua Taifa.
 
Nani Kati yetu aliyeajiri mlinzi, halafu akaandamana kumpongeza huyo mlinzi Kwa kushughulika na kibaka?
Au niweke hivi. Nani atamsifia baba Kwa kuimarisha ulinzi wa kaya yake?
 
Kama ni kazi aliyopewa kikatiba vipi wale marais waliopita je walifanya ivyoo?

Mkuu, hakuna rais wa taifa letu ambaye hajawahi kupambana dhidi ya ufisadi,rushwa na uhujumu uchumi. Kila rais alipambana kadri ya uwezo na kumwachia mwingine aendeleze mapambano (ndiyo kazi tunayo waajiri kufanya). Mzee Mwinyi, Ben & JK kila mmoja anapongezi zake.
 
Uko sahii ila hata kwa kidogo alichofanya ni vyema kumpongeza. We hujui tabia za binadamu. Unapompongeza ni kama motivation anaweza amka siku moja akadeal nao pia.
Mkuu imenibidi nicheke kwa sauti kubwa comment yako imenifurahisha sana-eti anaweza akaamuka siku moja aka deal nao kwa kweli ni ngumu ila kama ulivyosema inabidi tuwe tu na matumaini hayo maana hata tukikataa ndio ukweli wenyewe
 
magufuli ni mchumia tumbo km walivoccm wote....ameshindwa na ama amedanganya kila alichowahi kusimamia
1. Samaki wa magufuli alishindwa na kuliinhizia taifa hasara kubwa
2. Lugumi hiyo yeye yumo na imemshinda hawezi kujichukulia hatua
3. Kivuko kibovu alileta yeye wala hajajikamata na kujishitaki
4. BASHITE tu amemshinda sembuse Marais waliopita ambao alishasalimu amri hadi kuteua mke wa rais kuwa mbunge
5. Hajaweka mezani mkataba wa chatointernational airport???!!
6. Yeye binafsi hajaweka wazi mkataba wa bormberdier watz wanajua dili alizofanya yeye binafsi....
7. Hajaonesha hata nukta ya uzalendo kwa yale ambayo yeye binafsi ameshinikiza na kupazimishwa yafanyike.
8. Watz mtachezeshwa sn shere na ccm hukumnawalaumu wazungu na wachina kwa kiwaibia wkt wezi wenu ni ccmmnaowachekea
kungekuwa na uwezekana wa kutoa like 2 au tatu zaidi ningeamisha Like zote za kwenye ule uzi wa kupeana Likes nikupe.big up kwa maono mazuri kweli mtu mwenye nia ya kitu anaonekana kimatendo kama Magufuli angekuwa na nia,uchungu na uzalendo anaojifanya kuwa anao haya uliyayasema yasingekuwepo,ndio maana tunasema Rais aliyetokana na Mfumo wa CCM ni vigumu sana kwenda tofauti na mfumo ulio muweka madarakani.
 
Kama ni kazi aliyopewa kikatiba vipi wale marais waliopita je walifanya ivyoo?
Huo ndo ukweli, hiyo ni kazi aliyoomba kama watangulizi wake hawakufanya hilo ni kosa na ilipaswa wawajibishwe. Kuanza pongezi na maandamano ktk hatua hii ni mapema sana, kwani bado hakuna lililotoa tija ya maana.
 
Back
Top Bottom