Pongezi za Selasini kwa Serikali zawa gumzo bungeni

kwanz kabxa nirekebishe tu kuwa hakuna ziwa kyra ila n ziwa chala,cha pili huyu mbunge hakuna alichofanya zaid ya kujisifia kufukuza tembo,hilo la maji alidai kuwa akipewa madiwan wa kutosha atavunja board ya kili water ila bado ina exist huk madiwan kapewa wa kutosha,maji wilaya ya rombo especially Mengwe,Ngoyon na ken yamekuwa ya shida huk ukizingatia upande wa juu kuna mlima ambao una channels nying za maji wkt ukanda wa chin kuna ziwa chala ambalo sio seasonal,hii ingefanya kabxa hiz kata changamoto ya maji iwe historia lkn yy amechukulia kam kipengele cha kupigia kampeni
 
Back
Top Bottom