Pongezi za Rais Kwa Mhe Selemani Saidi Jaffo (TAMISEMI)

Sinamboga

Member
Dec 6, 2012
83
36
Ki ukweli unastahili pongezi si tu kwa namna unavyoisimamia Wizara lakini pia kwa weledi uliotukuka katika nafasi yako. Na kipekee barua ya kuomba radhi madaktari hasa pale walipo hukumiwa kisiasa na wanasiasa.
Pia Namna Wizara inavyosimamia miradi ya barabara za Mijini zinazojengwa kwa kiwango cha lami.
Pamoja na pongezi mheshimiwa naomba nikukumbushe Ahadi yako uliyo itoa mkoani Shinyanga Juu ya Barabara za Manispaa. Bado kimya na viporo kibao
Asante
 
Jafo ni jembe.
 
Wewe ndio rais unampongeza au?

Anyway Jafo amelipokea ombi lako la barabara za Shinyanga
 
Hana lolote,tamisemi imeoza,halmashauri zipo taabani huduma mbovu sana hasa maji na afya.
Hizo sifa bandia tu,zaidi ya asilmia 80 ya wakuu wa idara kwenye manispaa na halmashauri ni vilaza na wengi wao wamepewa vyeo hivyo kwa rushwa au kujuana toka kwa tamisemi ya Jaffo wakishirikiana na ndugu zao utumishi.
 
Back
Top Bottom