Pongezi za dhati wana Arusha na watanzania kwa ujumla | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pongezi za dhati wana Arusha na watanzania kwa ujumla

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Leornado, Jan 13, 2011.

 1. L

  Leornado JF-Expert Member

  #1
  Jan 13, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,534
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Wana Arusha wameonyesha ni jinsi gani wamechoshwa na utawala dhalimu wa CCM na kuwa tayari kwa mabidiliko kwa gharama yoyote ile. Shukrani sana kwa kujitokeza kwa wingi kuwasindikiza ndugu zetu(RIP). Mabango mliyoandika yameonyesha hisia zenu na nina amini ujumbe umefika kwa walengwa. Mshikamano daima katika kujikomboa kutoka kwa mafisadi.

  Wao wanatumia mabavu sisi tunatumia nguvu ya umma na leo imeonekana kwa jinsi mlivyojitokeza kwa wingi. Shukrani.
   
Loading...