Elections 2010 Pongezi za dhati MwanaHalisi, Raia Mwema na Mwananchi

DENYO

JF-Expert Member
Sep 14, 2010
698
57
Tumempongeza dr slaa ila ninaomba wanajamii tusiwasahau media zilizojitoa mhanga kumrusha kihali dr slaa na nguvu ya umma-mwanahalisi, raia mwema na mwananchi ni people's speaker. Tuna mashujaa ndani ya haya magazeti yakiongozwa na kubenea -mwanamapinduzi na ulimwengu jenerali na meena mwananchi. Hawa kama ni ethics za uandishi wanazifahamu pamoja na mazingira magumu na vitisho vya wachakachuaji wamesimama kidete kuelimisha umma, kuibua mijadala, kuondoa utata kwa vielelezo, kuwasha moto, magazeti haya ni wapiganaji tuliosalia nao watakaoikomboa tanzania. Tupo teyari kununua raia mwema na mwanahalisi tsh.1000 kwa moja kama mchango wetu kwa utafiti na uzalendo wa magazeti haya mnatisha mnakubalika -big up mwanahalisi team, big up raia mwema team as well as mwanachi team-keep fighting, keep going, dont loose track, wekeni mambo hadharani elimu ya uraia ni muhimu
 
Oh yes the three are may best newspepers. Can not afford missing any. Keep up
 
Mmelisahau Tanzania Daima. Au kwa vile lenyewe ni gazeti la mmojawapo wa wanaCHADEMA? But nafikiri linapokuja suala la kupongeza tulipongeze na lenyewe pia. Haya magezeti ni kioo cha mabadiliko ya kweli nchini kwetu.
 
Sorry just forgot the guardian on sunday for rashid shamte unacceptable behaviour -they deserve a hug!
 
Tusiwasahau na watu binafisi kama akina Mama Analelia Nkya na Buberwa Kaiza mimi nimewapenda njiasi wanavyo chukuwa msimamo juu ya madai ya katiba mpya na tume huru ya uchaguzi. Big uppppppppppppppppp!
 
Wadau wa JF, naona mpo makini kila kona. Ni kweli katika magazeti yote miliyotaja hapo juu sioni kama lipo la kupingwa, zaidi ya yote katika kipindi kilichopita cha uchaguzi na mpaka sasa, Magaezi yote hayo yalikuwa na habari za kina na kwa mapana kwa habari zote zilizoripotiwa. Angalia gateti la Raia Mwena jamaa anavyofuatilia ile Hali ya kule Karagwe. Kwa ujumla wake wote nawapa Hongera.
Pia kama kuna mtu anataharifa ya Jimbo moja la Tandahimba kama khali imkuwa shwari baada ya wana usalama kupelekwa kule kutuliza.
 
Lwaitama, Kitilla mkumbo pia. Haya magazeti mimi huwa nayanunua bila kusoma vichwa vya habari maana hawajawahi kuni let down. Big up sana wapiganaji wapenda haki wako nanyi kwa sana hasa Saidi kubenea alivyomwagiwa tindikali mpaka leo hua inaniuma why??????
 
PONGEZI kwa Ulimwengu, Mbwambo, Padre Karugendo, Dilunga, Kubenea na Wengineo bila kumsahau Mabala a.k.a Ayah za Hidaya!
 
Mmelisahau Tanzania Daima. Au kwa vile lenyewe ni gazeti la mmojawapo wa wanaCHADEMA? But nafikiri linapokuja suala la kupongeza tulipongeze na lenyewe pia. Haya magezeti ni kioo cha mabadiliko ya kweli nchini kwetu.

pamoja kiongozi Lukolo...mi hata buku 5000 ntanunua tu kwani kitu gani
 
Nami natoa pongezi zangu kwa Mbasha Asenga, Ndimara Tegambwage, Hilal Sued na Ezekiel Kamwaga -- waandishi mahiri sana wa makala wa Mwanahalisi.Big up, men!!!!
 
bila kumsahau pr. baregu manake kapoteza na kazi ili kusamba ujumbe wa kuwakomboa watanzania waliokata tamaa.
 
Kumbe haya Magazeti yaliegemea upande mmoja ok!!! ok!!!

Kuna waandishi wachache sana wasio hongeka kirahisi au kuwa vibaraka wa chama tawala kitu ambacho kimewashinda watu wengi pamoja na wanasiasa, wanaharakati na hata taasisi kama vile redet na hii njaa mbaya sana ndiyo iliyowafanya CUF. Wakawalambe ccm miguu na kuwasaliti wananchi ambao wengine waliotoa hata maisha yao wakitamani mabadiliko.

Nawashukuru mwanajamii aliyeleta mada hii jamvini na wengine kuchangia maana kuna watu mbalimbali ambao walihatarisha mpaka maisha yao kwa ajili ya kusema ukweli mpaka ushindi ukapatikana na kuporwa ccm.

HUO NDIYO UZALENDO WA KWELI WA MTANZANIA MPENDA HAKI
 
Hayo ndiyo magazeti pekee hapa TZ yenye akili na ambayo hayana UNAFIKI,they dare talk openly!
 
Pia Joseph Mihangwa wa Raia Mwema na Dada mmoja wa ITV aliyekuwa akifuatilia kampeni za uchaguzi, jina limenitoka, NAMFAGILIA.....!
BRAVO pia kwa watangazaji wawili wa RFA/Star TV....wanajijua, nafuatilia majina yao.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom