Pongezi za dhati kwa ule Mtambo wa Kimawasiliano wa Kijasusi kutoka Israeli ambao sasa unafanya Kazi Kubwa Tanzania

Wanasema usishike simu ya wife utakufa mapema, huo mtambo utawaongezea wenye kuumiliki msongo wa mawazo tu, Watu ni wanafiki sana.
 
Ujinga kitu kibaya sana unadiliki kusema Israel ni watu weelevu kuliko wote duniani kwanini usiseme watanzania ni waelevu kupita wote duniani
Inakuwaje nchi werevu kuliko wote duniani sio nchi tajiri kuliko zote duniani.
Kuna watu wanamahaba,wanaweza hata kumsujudia muislaeli au kugongwa tigo.
Waislaeli ni watu wakawaida tu hawana jambo la kutisha.
Huwa najiuliza kama waislaeli wana akili sana kwa nini mapinduzi yote ya kiteknolojia huanzia nchi zingine(Ulaya,marekani na China).
Kuanzia magari,ndege,train,Komputa,majengo,nishati vyote vimekopiwa na waislaeli kama wanavyokopi sasa wachina.
Teknolijia ya elekroniksi islaeli haifanyi vizuri kama China,taiwani,America.
Ungeniambia waislaeli wanajitihada ya kujifunza ningekuelewa.
Kwa takwimu za sasa watu wenye akili zaidi mi Mongolia race: China,Japan ,taiwani,Singapore.Ndio wanaoongoza ktk takwimu za dunia kwa akili nyingi wakiwa mahili katika mathematics,physics nk.
Smart teknology and quantum teknlogy wachina ndio wanaongoza kwa uvumbuzi hapa duniani.
Acheni ushabiki wa kikoloni kuamini kuwa ualaya ni kila kitu, eti waislael wamebarikiwa sana, uongo mtupu!.
Kuwa na wagunduzi kutoka islaeli haimanishi eti ndio wana akili kuliko woote, ni ujinga.Wangekuwa na akili HITRA asingewaua milioni 6.
 
Tungewaomba tractor 5000 za kulimia tukawa tunalipa kama mkopo wakaja pia kutujengea irrigations schemes maeneo mbalimbali kwenye mabonde yetu sasa hivi tungekuwa tunaifeed misosi Africa nzima kama sio na europe..
 
Tungewaomba tractor 5000 za kulimia tukawa tunalipa kama mkopo wakaja pia kutujengea irrigations schemes maeneo mbalimbali kwenye mabonde yetu sasa hivi tungekuwa tunaifeed misosi Africa nzima kama sio na europe..
Nikifikiria hayo huwa nabaki kujiuliza, "waziri wa kilimo anafanya kazi gani"?
 
Hakuna wa kututisha. Wakiweza waje na mtambo wa kujua jinsi tunavyowala wake zetu pumbavu.
Huu nadhan makonda alisema upon ticiaraeii pamoja na kugundua wacheki porn na walioibet Haifa starz ishindwe
 
Uzuri ni kwamba huo mtambo unasaidia kuonesha ni jinsi gani watu wanaona utawala unavyoenda na mambo kama hayo, unasaidia kutoa maoni halisi ya watu kitu ambacho wasingefanya katika hali ya kawaida...

Ni kitu kizuri tu....mwisho wa siku watu wataacha kuzungunzia in shadows...
 
Who told you wanahitaji mtambo kurekodi mawasiliano ya simu?

Mtandao wako ndo mchawi wako.
 
Acha kutulisha matango pori, TCRA wana kazi gani?
Hakuna mtambo wowote zaidi ya kwenda kwa services provider wa mitandao ya simu kuomba mawasiliano kati ya namba moja na nyingine.
 
Ujinga kitu kibaya sana unadiliki kusema Israel ni watu weelevu kuliko wote duniani kwanini usiseme watanzania ni waelevu kupita wote duniani
Watanzania wangekuwa werevu si wangejiandikia katiba nzuri,itakayowasaidia kuweka uongozi makini na wenye weledi
 
umeandika uzi kishabiki sana na kishamba pia ,mbona hayo mambo yanafanyika miaka mingi ilyopta toka 1956 sim zinadukuliwa
 
Nilikuwa siamini pale ambapo Mtu Mmoja aliponiambia kuwa niwe makini na Simu yangu hasa nikiwa naongea mambo Nyeti na hakuishia tu hapo akaniambia kuwa niamini nisiamini Simu karibia zote za Watu Maarufu nchini Tanzania wawe wa Kisiasa na Kijamii zinasikilizwa na Watu Maalum nchi hii na kwamba kuna Siku baadhi ya Watanzania watakuja Kuumbuka na hatimaye sasa wanaanza Kuumbuka na Kuumbuliwa.

Sasa naanza Kuona ule Ushirikiano wenu na Taifa la Watu Werevu pengine kuliko wengine hapa duniani la Israeli hadi miaka miwili iliyopita wakatupa Mtambo Maalum wa Kudukua Mawasiliano ya Watu bila Wao Kujijua kwa matumizi ya Kiusalama umeanza Kufanya Kazi na huenda Siku si nyingi Watanzania tukaja Kusikia Udukuzi wa Sauti zingine ambazo tunaweza tusiamini Macho au Masikio yetu kama Walengwa wangeweza kuzungumza / kusema waliyoyasema humo.

Kwa taarifa za chini chini kabisa ambazo bado naendelea Kuzithibitisha nimedokezewa ya kwamba baada ya Kusikia Udukuzi wa Sauti za waliotangulia basi tayari Mtambo huo huo wa Kimawasiliano wa Kijasusi kutoka nchini Israeli Watanzania sasa tujiandae kuanza Kuzisikia Sauti za Watu Wawili ambapo Mmoja alikuwa na Dhamana ya Kikatiba ya nchi hii pamoja na Mwanae ambaye kuna muda nae aliichafua nchi hii kwa aina ya Biashara yake Haramu aliyokuwa akiifanya akiwa anazungumza na Watu ambao wanatuhumiwa sasa katika Sauti zinazosikika.

Rai yangu Kwako / Kwenu kuweni makini na Simu zenu kwani Mtambo wa Kimawasiliano wa Kijasusi wa Kiyahudi ( Israeli ) hauna Masihara ambapo ukikuamulia Kukudukua Kuanzia Sauti yako na hata Meseji zako za Simu unaweza Kufanya hivyo muda na wakati wowote ule. Ndiyo sitaki na wala sipendi Siasa kwani nimegundua kuwa Siasa ni Mchezo wa Kutafutana ambao umejaa Unafiki, Chuki na Fitna nyingi mno.

Poleni sana kwa wale ambao yamewakuta.
mwenye huu muandiko kama namfahamu.
 
Back
Top Bottom