Pongezi za dhati kwa Rosemary Mwakitwange.........Kazi nzuri jana

Like father, like daughter. Mlimfahamu marehemu Wilfrem Mwakitwange, baba yake? Alikuwa mpinzani mkubwa wa TANU and then CCM. Mwaka 1968 yeye na wabunge wengine walinyang'anywa kadi. Mwaka 1992 aliasisi chama cha upinzani cha PONA.

Rosemary is a well reserved and very upright lady - the same category as Ananilea Nkya.
 
Rose nilishawai fanya nae kazi yuko smart sana.
Jana alifanya kazi ya maana big up angalau unaweza fikiliwa kauwazili ktk serikali yetu mpya
 
naam uungwana ni kukubali kazi nzuri! mama mwakitwange umenifanya nijisikie mtanzania zaidi waandishi uchwara be inspired by rosemary mwakitwange!
 
mna mpongeza kwa lipi wakati amekoroga akuficha upona wake aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Wewe ni pandikizi. Nakupa hongera kwa kuropoka kwa sababu mtu ye yote asiyeona kazi nzuri ya mwenzie hata yake hayaoni na habadiriki hadi kufa.

MWANANGU ROSE YOU ARE GREAT GOD BLESS YOU PLEASE NOTE THAT YOUR FOCUS IS ON THE RIGHT TRACK AND BE PROUD OF YOUR ACHIVEMENT.
 
Ndaga fijo Ugwe Rosi Mwakitwange(kama ni Mnyakyusa)/oh! Hapana ni Segito huyu au? Nyongisee! . Kweli ulininogesha mchuzi mtamu wa jana, unafaa na jamii nzima inapaswa kuiga kwako na kujifunza jinsi ya kupangilia mijadala.
Pili mpangilio wako wa kuhoji, kuamua, ukarimu na kuangalia muktadha wa jamii alikwa ulikuwa wa kupigiwa mfano. Vyemaa... Dada Rose.. Mola akuzidishie...
Kama ni mpira wa miguu basi uling'ara kwani ulikuwa kama shilingi kwa ya pili kwa Dr. Slaa.

Umenifanya nikupende sana na kukuweka katika orodha ya watu makini ambao wamepata kuishi katika nchi hii, nawe leo ndio kioo cha kujitazama kwa mie kama kijana mpenda haki, ukweli na maendeleo thabiti katika nchi.

Mwisho nawapa pongezi ITV na washirika wake kwa uandazi mzuri wa mdahalo na mazingira yote mpaka kurushwa hewani, Mola awazidishie ujuzi na awape uvumilivu.
kama si leo basi kesho

''ALUTA CONTINUA''
 
Ahsante kwa thread yako nzuri, binafsi huyu dada alifanya kazi professionally hivyo ni juu yetu kumpa moyo na kuwa mfano wa kuigwa. Siku zote huwa nasema in our country, Tanzania! there are smart people who can do wonders to develop the country. But politics ndo inaharibu kila kitu wakati wanaoingia ndani ya politics wanapoamua kutumia gharama zozote kuingia madarakani kwa manufaa yao binafsi.

Bravo sister Rosemary.

You are very true...siasa na viongozi wabovu ndio wanavunja nguvu za wachapakazi na wabunifu kama huyu dada Rose. Tukumbuke anapambana na Mafisadi (kama mwajiri wake wa zamani - RA, wote tunanjua). Ila Mungu ananyoosha mikono yake kwa watu makini na wabunifu wanaolenga kuinusuru nchi yao, kama Rose na Team yake, kamwe hawatakwama, au kukwamishwa na ubovu wa wengine. Siku zote wao watachomoza kati yao (mafidhuli) na jamii itasisimka kwa values wanazoibuka nazo, kama ilivyokuwa ubunifu katika Debate hii...! Dada Rose hongera sana!! Andaa mdahalo mwingine kabla ya uchaguzi tafadhali ili kukamilisha historia uluyokwishaianza. YOTE YANAWEZEKANA. YES WE CAN! Mungu akulinde daima na Team yako.
 
Hongera sana Rose. I worked very briefly with Rose when she was at AMREF. That is when I came to know her for the first time. She may have forgotten me 'cause it is about 15 yrs ago. I found her to be very intelligent and to speak out boldly what she believes in. She is a daughter of the late Mwakitwange (I can't his first name, is it Ephraim?) who was a politician. He was the Regional Commissioner for Tanga before retiring. He owned one of the first night clubs near Kunduchi Hotel. This night club was very popular with the youth. If my memory serves me right, he founded an opposition party that eventually collapsed.

Big up Rose!! Ndaga fijooooo!!!
 
Hongera sana Rose. I worked very briefly with Rose when she was at AMREF. That is when I came to know her for the first time. She may have forgotten me 'cause it is about 15 yrs ago. I found her to be very intelligent and to speak out boldly what she believes in. She is a daughter of the late Mwakitwange (I can't his first name, is it Ephraim?) who was a politician. He was the Regional Commissioner for Tanga before retiring. He owned one of the first night clubs near Kunduchi Hotel. This night club was very popular with the youth. If my memory serves me right, he founded an opposition party that eventually collapsed.

Big up Rose!! Ndaga fijooooo!!!
I think her father's name is the Late Wilfred Mwakitwange.
 
Nampongeza Rose sana, na naomba wale wanaoanza kuuliza personal issues kama kaolewa au la hili si jukwaa lake.. Lets uphold professionalism
 
Namkumbuka dada Rose akiwa CEO wa habari corp, ni mwanamke makini na jasiri. Niliwahi kumhoji kuhusu uamuzi wakekuongoza kampuni ambayo inachungulia kaburi, nalikumbuka sana jibu lake lilionyesha kujiamini, alinijibu akisema"....... I want to prove kwamba Watanzania tunaweza, we subiri nitaibadili hii kampuni, ina pesa nyingi sana, tutatengeneza faida kubwa sana ndani ya muda mfupi" na kweli alithibitisha kuwa Watanzania tunaweza, na jana kathibitisha tena kuwa tunaweza. Tatizo letu ni hawa wanasiasa uchwara kuwazibia milango Watanzania wenye uwezo kuonyesha uwezo wao.

Bravo Rose, I am very proud of you
 
mna mpongeza kwa lipi wakati amekoroga akuficha upona wake aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Asee yaani katika watu wooote wewe pekee ndio uliyeona hastahili kupongezwa? Inaelekea bwana mdogo una matatizo jitafutie dawa
 
Back
Top Bottom