Complicator
JF-Expert Member
- Aug 23, 2013
- 2,198
- 3,566
kama watanzania wangekua na akili timamu wangejua kabisa ambaya yanaendelea baada ya uchaguzi
haya yanayofanywa na polisi ni maagizo pia,sababu serikali inajua wazi kabisa kwamba wananchi hawajawahi kuwa chanzo cha vurugu,bali wao na jeshi la polisi na vyombo vya usalama
mbona sahivi jeshi limekua na weledi ghafla?!...kumbe huwa ni makusudi,na inafahamika kwamba baada tu ya uchaguzi hali itarudi vile kama mwanzo,isiwadanganye hii hali...Siro hana weledi wowote,ni anatumiwa tu kwa remote na anafata,angekua mweledi angesimama hata kipindi cha baada ya uchaguzi.