CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 4,983
- 4,080
- Thread starter
- #61
UPUUZI MTUPU!!! Nchi haina HAKI. UHURU wala USAWA nani anataka kuja kuwe meza kwenye nchi iliyojaa dhuluma na udhalimu. Mpaka Viongozi wa VODACOM walibambikiwa kesi ná Serikali hii haramu kisha kuporwa billions eti faini!
TCRA yazipiga faini ya Sh38.1 bilioni kampuni 6 za simu kwa kosa la kutofikia viwango vya ubora wa huduma
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imezipiga faini ya Sh38.1 bilioni kampuni sita za simu kwa kosa la kutofikia viwango vya ubora wa huduma kama ilivyoanishwa na kanuni za ubora wa huduma za mwaka 2018. Hata hivyo, mamlaka hiyo imezielekeza kampuni hizo kutozipeleka fedha hizo TCRA badala...www.jamiiforums.com
BAK,
kwanini unaattack kwa kutumia hoja za zamani,
Kumbuka hii ni zama mpya na ndio sources ya "Uzi huu"
Kwahayo unayoyataja ndio maana kwa zaidi ya miaka 4 hatujawahi kuwepo hata kwenye Top 10,
Rais Samia ameweka mazingira salama ndio maana leo tunaingia kwenye Orodha ya nchi TANO ambazo zinamazingira mazuri ya uwekezaje Kati ya nchi 54 zilizoko Africa,
TUJIKITE LEO NA MAMA SAMIA NA SIO VINGINEVYO,