Pongezi nyingi aliyeleta wazo la pikipiki kutumiwa kama usafiri kwa abiria

ommytk

JF-Expert Member
Jul 30, 2015
482
1,053
Kwenye hili la boda boda naomba tutoe pongezi nyingi kwa aliyeleta hili wazo zitumike kama usafiri wa abiria.

Ameacha alama kubwa kwakweli maana kila kona now kuna kijana ana pikipiki yaaani zimeajiri mamilioni kwa mamilioni ya watu kuna watu wanafaa kuchongewa sanamu aiseepo

pongezi nyingi sana sana kwake na waliopitisha sheria pia kuruhusu matumizi yake.
 
Kwenye hili la boda boda naomba tutor pongezi nyingi kwa aliyeleta hili wazo zitumike kama usafiri wa abiria ameacha alama kubwa kwakweli maana kila kona now kuna kijana ana pikipiki yaaani zimeajiri mamilioni kwa mamilioni ya watu kuna watu wanafaa kuchongewa sanamu aiseee.pongeI nyingi sana sana kwake na waliopitisha sheria pia kuruhusu matumizi yake
Kutoka Uganda
 
Nakumbuka mwaka 2003 naangalia movie za Nigeria walikua wanazitumia kama tax sisi tume copy wao walikua wanaziita Okada
 
Ni usafiri mzuri sana na umesaidia sana kupunguza vijana mitaani wasiokuwa na kazi, shida polisi wana waandama sana vijana hao, ni vyema serikali iangalie namna mpya ya kuwasadia badala ya polisi kujikita kuwatafutia makosa tu
 
Kwenye hili la boda boda naomba tutoe pongezi nyingi kwa aliyeleta hili wazo zitumike kama usafiri wa abiria.

Ameacha alama kubwa kwakweli maana kila kona now kuna kijana ana pikipiki yaaani zimeajiri mamilioni kwa mamilioni ya watu kuna watu wanafaa kuchongewa sanamu aiseepo

pongezi nyingi sana sana kwake na waliopitisha sheria pia kuruhusu matumizi yake.

ndio aliruhusu hii kitu

Lowasa ndio aliruhusu hii kitu
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom