Pongezi na hongera sana Wanakagera, nyie ni watu wastaarabu mno

hii kitu inasikitisha kwasababu, watu na mashirika mbalimbali wamechangia waanga wa mafuriko then hiyo hela inakuwaje aaze kujenga miundo mbinu, nafikiri wangesaidiwa waathirika kwanza na serikali ingejenga miundombinu kwa hela zake. kwani hizo hela ambazo serikali inazikusanya kila mwenzi anazifanyia nini?
 
Ndugu zangu wanakagera nyie ni watu wastaarabu mno, pamoja kwamba mmepatwa na majanga ya tetemeko la ardhi na serikali ikashindwa kuwasaidia bado mmeonesha kiwango cha juu kabisa cha kustaraabika nyie sio wa nchi hii kwa ustaarabu mlionesha kwa Mheshimiwa rais.

Pamoja na Mheshimiwa rais kuwasimanga baadala ya kuwapa pole lakini mliendelea kuwa wapole na kumsikiliza hadi mwisho, maneno aliyokuwa anayatamka Mhe rais hayana staha na sio maneno ambayo wafiwa wanapaswa kuwaambiwa, ikumbukwe kwamba hakuna mhanga aliyetaka kujengewa nyumba kama alivyosema Mhe watu walitaka pesa za rambirambi zitumike kuwasaidia wahanga na serikali ijenge miundombinu kwa pesa zake.

Mhe rais anasema nyie ni watu majanga tu, tetemeko, ukimwi, ugonjwa wa mnyauko bila kujua kwamba majanga haya ni asili hayakwepeki hii ni dhihaka kubwa sana kwenu pamoja na dhihaka hizo zote mlienda kumvumilia hata kumshangilia kinafiki.

Nina uhakika Mhe rais angeatamka haya kwa jamii ya watu wengine angepopolewa na mawe na uwanja ungegeuka wa damu, peleka dhihaka kama hizo Tarime uone utakachoambulia, endeleeni na ustaarabu huo Mwenyezi Mungu atawalipia.
Usihofu, kila kitu unachokiona kinatoka kwa Mungu na ni cha Mungu na kina maana na malengo kamili kwako. Kulalamika ni sawa na kumfungia nje mgeni aliyetumwa kukuokoa kwenye tatizo.
Awamu hii ya tano imetumwa na Mungu na ni mpango wa mungu wa kutuondolea ile ganzi ya u.ze.zeta na kupenda vitu vya bure tuliyokuwa tumechomwa na baba wa Taifa. Sasa hivi angalau watu wameshaanza kujitambua na kuupa heshima ubongo ya kufikiri kuhusu kesho yako. Bila kufanyakazi huli na usile kabisa, hivi ndivyo wanavyoishi wazungu, wachina, waarabu na wahindi ambao wako mbele yetu kwa kila kitu. Kazi yetu mpya ya sasa iwe ni kufanyakazi, kulipa kodi na kudai huduma kwa nguvu zetu zote bila ya kujali nani ni nani. Kuongea kuongea kuongea na kuongea hakutatufikisha kokote Waafrika.
Rais Magufuli aliamua tu kuliita chepe chepe kwa kutumia lugha yake. Hivi Magufuli atajengeaje nyumba waKagera tu na kuwaacha wale wa sehemu nyingine (sio Kagera) ambao walitangulia kupatwa na majanga ya asili kama vile kule Morogoro, Shinyanga na kwingineko? Kwani wale sio watu, tena wao mamekubwa na janga la mafuriko ambalo ni baya zaidi kuliko tetemeko, maana mafuriko yanasomba hata mazao, kuku, vitanda na vijiko. Kwanini hili la Kagera kuna watu wanataka livaliwe njuga na serikali kuliko yale ya watanzania wengine? Acheni unaa na ujinga wenu, sisi tuna akili timamu bhana, jamaa alikuwa sahihi ingawa alichanganya na utani wa kisukuma na kihaya ndani yake. Lakini watanzania wameuelewa sana tena kwelikweli.
 
Rais Magufuli aliamua tu kuliita chepe chepe kwa kutumia lugha yake. Hivi Magufuli atajengeage nyumba waKagera tu na kuwaacha wale wa sehemu nyingine (sio Kagera) ambao walitangulia kupatwa na majanga ya asili kama vile kule Morogoro, Shinyanga na kwingineko? Kwani wale sio watu, tena wao mamekubwa na janga la mafuriko ambalo ni baya zaidi kuliko tetemeko, maana mafuriko yanasoma hata kuku na vitanda. Kwanini hili la Kagera kuna watu wanataka livaliwe njuga na serikali kuliko yale ya watanzania wengine? Acheni unaa na ujinga wenu, sisi tuna akili timamu bhana, jamaa alikuwa sahihi ingawa alichanganya na utani wa kisukuma na kihaya ndani yake. Lakini watanzania wameuelewa sana tena kwelikweli.
Sijui kama hao wana Serengeti watakuelewa...maana hawana Sera tena wamekuwa wa kufuata matukio!
 
Ukiona majanga yanatokea mara kwa mara sehemu fulani jua(know) kuwa kuna sababu kama ya sodoma na gomora au soma vitabu vya agano la kale utapata kujua mengi!
Niliwahi kuandika kuwa dhambi huleta majanga ktk jamii, kuna jamaa alinishambulia eti hizo ni hadithi.
Nimekuelewa sana, maana Mungu alishaweka amri zake. Ukizifuta utapata baraka pamoja na vizazi vyako. Ukiasi (ukitenda dhambi) utapata laana pamoja na vizazi vyako.
Bila toba hatutoki hapa tulipo.
 
Usihofu, kila kitu unachokiona kinatoka kwa Mungu na ni cha Mungu na kina maana na malengo kamili kwako. Kulalamika ni sawa na kumfungia nje mgeni aliyetumwa kukuokoa kwenye tatizo.
Awamu hii ya tano imetumwa na Mungu na ni mpango wa mungu wa kutuondolea ile ganzi ya u.ze.zeta na kupenda vitu vya bure tuliyokuwa tumechomwa na baba wa Taifa. Sasa hivi angalau watu wameshaanza kujitambua na kuupa heshima ubongo ya kufikiri kuhusu kesho yako. Bila kufanyakazi huli na usile kabisa, hivi ndivyo wanavyoishi wazungu, wachina, waarabu na wahindi ambao wako mbele yetu kwa kila kitu. Kazi yetu mpya ya sasa iwe ni kufanyakazi, kulipa kodi na kudai huduma kwa nguvu zetu zote bila ya kujali nani ni nani. Kuongea kuongea kuongea na kuongea hakutatufikisha kokote Waafrika.
Rais Magufuli aliamua tu kuliita chepe chepe kwa kutumia lugha yake. Hivi Magufuli atajengeaje nyumba waKagera tu na kuwaacha wale wa sehemu nyingine (sio Kagera) ambao walitangulia kupatwa na majanga ya asili kama vile kule Morogoro, Shinyanga na kwingineko? Kwani wale sio watu, tena wao mamekubwa na janga la mafuriko ambalo ni baya zaidi kuliko tetemeko, maana mafuriko yanasomba hata mazao, kuku, vitanda na vijiko. Kwanini hili la Kagera kuna watu wanataka livaliwe njuga na serikali kuliko yale ya watanzania wengine? Acheni unaa na ujinga wenu, sisi tuna akili timamu bhana, jamaa alikuwa sahihi ingawa alichanganya na utani wa kisukuma na kihaya ndani yake. Lakini watanzania wameuelewa sana tena kwelikweli.
Hakuna mtu aliyetaka serikali iwajengee waathirika wa tetemeko, watu walitaka pesa zilizochangwa na wananchi zielekezwe kwenye kuwasaidia walengwa sio kubadilishiwa matumizi, suala kwamba mtu ale kwa kufanya kazi hiyo inajulikana tangu zamani serikali hii haijawahi kulisha watu wake, kila mtu hula jasho lake, usijione mjanja wakati ni mjinga kama wajinga wengine.
 
28 Reactions
Reply
Back
Top Bottom