Pongezi ""michuzi jr"" kwa habari za kweli.mfano wa kuigwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pongezi ""michuzi jr"" kwa habari za kweli.mfano wa kuigwa

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Technician, Oct 15, 2010.

 1. Technician

  Technician JF-Expert Member

  #1
  Oct 15, 2010
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 843
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nimekuwa nikitembelea blogs za watu wengi lakini hii ya JIACHIE kidogo inanifanya nitumie muda zaidi na kila mara kupitia kwasababu inaleta habari ambazo ni za ukweli ukilinganisha na blogs zingine zinazo elemea upande umoja wa chama kilichoko madarakani nadhani wanaogopa kusema ukweli kuhusu chama.
  uNAPOTOA ELIMU YA URAIA NI VIGUMU SANA KU-ESCAPE SCANDAL ZA UFISADI WA RICHMOND,EPA,MEREMETA NK NK
  SO,MISIKITI NA MAKANISA WAMEAMUA KUACHA KUTOA HIYO ELIMU YA URAIA KWASABABU INAONEKANA WANAKISEMA VIBAYA CHAMA MAPINDUZI.

  HUU NI MTIZAMOA WANGU
   
Loading...