Pongezi Mhe. Spika Kuliongoza Vyema Bunge Letu, ila Sio Busara Kutumia Bunge Kujibu Trivia Issues za Mitandaoni, Zina Downplay Hoja Rasmi za Msingi!.

Wachache sana tunaokuelewa mkuu Paskali..nasikitika kuona bado kuna watu wanaendelea kukuhukumu na lile bandiko lako la April mosi..ambalo kimsingi lilisadifu maudhui ya ile siku yenyewe,hata hivyo nikirudi kwenye hoja yako ya msingi ya leo iko wazi bado kuna shida kwenye inshu ya mawasiliano hasa kwa watendaji wa serikali wenye dhamana..na ndio maana hata leo waziri mkuu akachomekea inshu ya kutoa taarifa za corona kienyeji badala ya kutolewa na wenye mamlaka ya kufanya hivyo.
 
Wengi mnaomlaumu paschal kuhusu yote laiti mnngeshudia hata dk 10 za mahojianomahojiano kwenye kamati ya maadili mngenyamaza.

Naona aliandika mahali ni bora kunyamaza kuliko....

Pole mayalla endelea kupambania ubaba wa wanao ndani umma WA watz. Si rahisi lkn vumilia ukishindwa nyamaza najua si rahisi mwanahabari na PGDwa sheria kukubali kunyamaza kirahisi.

For the benefits of ur children nyamaza, kumbuka, karibuni wataanza kusoma jf. Hata kama wako lockdown huko...... Nyamaza labda utaokoa vilivyo na thamani kwako inaweza kuwa ulivyopoteza au unavyokaribia kupoteza.
 
Hakika serikali ya awamu ya tano inastahili pongezi kila uchwao ,hii ni kutokana na mambo mazuri yanayofanywa na government yetu katika kutatua changamoto zinazomkabili mwananchi,JPm for 2020-2025

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii serikali ni kiboko hadi imeweka hewani mitambo ya kufyonza virusi vyote vya corona vinavyoingizwa nchini,awamu ya tano ni fire
 
Wanabodi,

Naendelea kusisitiza kwenye mazuri tupongeze, kwenye mabaya tukosea na kwenye mapungufu tushauri, katika uendeshaji wa Bunge la safari hii, kiukweli wa dhati ya moyo wangu, safari hii Mhe. Spika anajitahidi sana kuliendesha vyema Bunge letu kiasi cha kustahili pongezi

Hivyo hili ni bandiko la pongezi kwa Spika wetu, Mhe. Job Yustino Ndugai jinsi anavyoliendesha Bunge hili kwa weledi sana. hivyo, nampa hongera Mhe. Spika kuliongoza Bunge letu vyema, hata hivyo, naomba kutoa angalizo muhimu la kihabari, sio busara sana, kulitumia Bunge letu kujibu hoja za muflslis na trivia Issues zinazoibuliwa kwenye mitandao ya kijamii. Baadhi ya hoja zinazojibiwa zina outwasha or ku downplay hoja rasmi za muhimu na za msingi!.

Hoja za mitandaoni zijibiwe mitandaoni na hoja rasmi za Bungeni ndizo zijibiwe Bungeni. Kufuatia sasa dunia inamilikiwa na mitandao ya kijamii, natoa wito kwa viongozi wetu wote, wawe na hangle zao za mitandao ya kijamii kama ilivyo kwa rais Magufuli, na baadhi ya mawaziri, Bunge pia liwe na Twitter account, Facebook account, Instagram account na YouTube channel yake, kisha kila kiongozi awe na social media accounts zake, ziwe manned na wasaidizi wao, mtu yoyote akiibua issue yoyote kwenye mitandao ya kijamii, ajibiwe huko huku, sio mtu aibuke kwenye mitandao ya kijamii kutuhumu, halafu anajibiwa rasmi Bungeni.

Mimi niliwahi kuitwa kuhojiwa na Kamati ya Bunge kwa tuhuma za kulidhalilisha Bunge, kufuatia makala yangu fulani niliyo iandika humu jf.
Malala iliandikwa mtandaoni tarehe 7 September, 2017
Wabunge Wetu wa Ajabu!, Wanaachaje Bunge Lijipendekeze Kwa Serikali!, Wanajua Wajibu Wao?. Check 'n' Balance Itoke Wapi? - JamiiForums

Kuitwa kule Bungeni, kulifuatia makala hiyo ya JF kuchapishwa kwenye gazeti la Raia Mwema zaidi ya miezi 6 baadaye!.
Ndipo tarehe 12/04/2018 ndipo nikaitwa Bungeni.
Spika aagiza mwandishi Pascal Mayalla na Wahariri wa gazeti la Raia Mwema wahojiwe kwa kulidhalilisha Bunge - JamiiForums
Makala ile ilikaa mwezi mzima humu jf bila kuleta kelele zozote, hadi ilipochapishwa gazetini, ndipo ikawa issue.

Leo wakati Waziri Mkuu amekamilisha hotuba yake kuhitimisha bajeti yake, Waziri Mkuu amesema mambo makubwa mazuri na ya msingi sana kuhusu taifa letu na vita vya janga la Corona. Baada ya Waziri Mkuu kuhitimisha hotuba hiyo rasmi, katika kuahirisha Bunge, Mhe Spika akachomekea taarifa ya Tundu Lissu kutoka kwenye mitandao ya kijamii.

Kufuatia umuhimu wa hotuba ya Waziri Mkuu kuhitimisha bajeti yake, Mhe. Spika, hakupaswa kuchomekea kujimjibu Tundu Lissu kwa hoja alizoziibua mitandaoni. Hoja za mitandaoni zijibiwe mitandaoni zisijibiwe Bungeni, zina downplay umuhimu wa hotuba rasmi za kiserikali na sometimes zina outwash hotuba rasmi na muhimu za Bungeni kwa kujadili trivial issues zilizoibuliwa mitandaoni ambazo hazina maana yoyote or umuhimu wowote compared.

Vyombo vya habari vinaandika habari kutokana na uzito wa kihabari hivyo habari ya Spika kumjibu Tundu Lissu inaweza kupewa uzito na baadhi ya vyombo vya habari kuliko hata habari muhimu ya Waziri Mkuu.

Moja ya matumizi mazuri ya mitandaoni ya kijamii kama huu mitandao wetu wa JF, ni kuisaidia jamii, ikiwemo kuisaidia serikali yetu na pia kuwasaidia viongozi wetu, hivyo kufuatia mimi kuwa ni mwanahabari na Mhe Spika sio mwanahabari bali ni mtoa habari, baada ya hotuba muhimu kama ile ya Waziri Mkuu Bungeni, Mhe. Spika hakupaswa kutoa habari za yale makorokocho ya Lissu Bungeni.

Hili la kuwashauri viongozi wetu waongee nini, sisi jf tumeshauri sana na kiukweli tumesaidia sana viongozi wetu, serikali yetu na taifa letu.

Ushauri huu unatolewa very honestly kwa nia njema ya kusaidia without any malice aforethougts.

Namaliza kwa kumpongeza Spika kwa Kazi Nzuri, na Kumpongeza Waziri Mkuu kwa Hotuba Nzuri, na kuipongeza serikali yetu kwa hatua zote inazochukua kupambana na Corona

Nawatakia Jumatatu Jioni Njema.
Paskali
Rejea

Mada mbalimbali za mwandishi huyu kuhusu uendeshaji wa Bunge Letu

Je, Wajua Bunge linaweza kuvunjwa Siku 7 Zijazo?. lisipopokea ripoti ya CAG, Bunge linavunjwa kwa mujibu wa Katiba - JamiiForums

Vurugu za jana Bungeni: Chanzo ni Mhe. Job Ndugai!- Ni Dikteta Hatari Kuliko Spika Anne Makinda!. - JamiiForums

Wito: Wabunge Badilini Kanuni Kuondoa Udikteta wa Spika/N.Spika! - JamiiForums

Je, wajua kikatiba, CAG ana hadhi ya Jaji Mkuu?. Je, wajua ripoti ya CAG ni Zaidi ya Bill?. Je, wajua kwenye ripoti ya GAG, CAG ni zaidi ya Rais ? - JamiiForums

Mhe. Tundu Lissu, Please Acha Kumsulubu Spika Wetu!, Unammaliza Kabisa Hadi Ameshindwa Kazi!. - JamiiForums

Je, kukosekana kwa baadhi ya wabunge makini, machachari bungeni, kumepunguza ari na msisimko wa vikao vya bunge?. - JamiiForums

CHADEMA Wameliharibu Sana Bunge Letu! Hadi Mawaziri Wetu!, Kama Vipi Kifutwe Kabisa Tujue Moja?!. - JamiiForums

Nani Zaidi Kati ya Bunge na Mahakama?!. The Doctrine of "Separation of Powers" Nothing, Just a Myth! - JamiiForums

Je, Wajua Bunge linaweza kutoa azimio batili? CAG yuko kikatiba. Je, Bunge lina uwezo kutopokea ripoti ya CAG? - JamiiForums

Wapinzani msione aibu kushirikiana na CCM kwenye hoja zenye maslahi ya Taifa! Bashe ni mzalendo, aungwe mkono na wote! - JamiiForums

Vicky Kamata Anastahili Pongezi!, Asimama Kidete Kupinga Uonevu, Ubabe na Double Standards za Zungu! - JamiiForums
Ningekuwa na uwezo nisingeruhusu msukuma na mgogo kupewa madaraka makubwa
 
Siweki andiko lolote mpaka niwe na uhakika Job aliongea nini. Maana kama taifa tunachangamoto nyingi sana. Ila kwa ulimwengu wa leo social media ndio reliable source of info. Mimi naishi Nyakagwe lakini nafanaya interaction na dunia nzima na watu wanatoa true info.
Enzi za kupata info toka vijiwe vya kahawa, bar na vilabuni zimepitwa na wakati.
Tujifunze kwa nchi kama China, Us na zinginezo. Na uzuri sasa hivi kila laini imesajiliwa kwa kitambulisho cha Taifa.
Nipo Nyakagwe kuna mtu kachafua baa kwa kreti kama kumi.Mengineyo ni siri.
Kesho.
 
Paskali natambua nafasi yako kama verified user, sihitaji kukulaumu kama ww kwani najua hali halisi. Ila hizo sifa ulizompa Ndugai ni kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa kutokana na ID yako. Unasema huku mitandaoni tunajadili trivial issues, ukweli ni kuwa kwa sasa humu mitandaoni ndio kulikobaki huru, tunapoweza kusikia issue za kweli, huko bungeni ndio hiyo ulisikia wapinzani wamegomewa kusoma hotuba yao, kwa sababu zinazomfurahisha Ndugai na anayemtumikia.

Ndugai ameamua kujibu habari za mitandaoni, sio kwa bahati mbaya, bali huku mitandaoni ndiko anakokutana na hoja za kweli zinazomuumiza, hivyo hana jinsi zaidi ya kuzijibu. Kumbuka huku mitandaoni hawezi kuja maana huku anajua fika atakutana na ukweli mchungu, na yale madaraka anayoyatumia vibaya kule bungeni, huku hana nguvu hizo, zaidi ya kupendekeza jukwaa lifungwe, na hata akipendekeza lifungwe, bado mitandao ni mingi sana na tutahamisha huko hata kwa VPN. Hivyo hayo mafuta unayompaka kwa mgongo wa chupa, ni vyema tu ukamwambia cheo ni dhamana na madaraka yana mwisho.
 
Dah! Hizi njaa hizi.
Hv huyu jamaa na yeye ni mtu mzima, ana mke na watoto wanamuita baba kabisa ndio anakuja kuandika hizi shombo!?
Hv viapo mnasema mmekula kusema na kuandika ukweli huwa mnaapa mbele ya shetani !?
Mambo mengine ni afadhali kukaa kimya kulikoni kuendelea kujidhalilisha kiasi hiki.

Hii nchi inastahili zaidi ya haya tunayoyaona na unayoyasifia.
Nyie mnaojitoa ufahamu na kujikuta mnamsifia mfalme Juha ndio mnaozorotesha hali ya hii nchi. Kama huwezi kuwa mkweli na muwazi, kaa kimya. Njaa zako zisiwe kero kwa wengine, tunahitaji wapambanaji na watafuta mabadiliko na sio waimba ngonjera na wapiga debe.

"I love my country but i'm ashamed of my government"

Naamini pascal ana point nzuri sana, tatizo unamuona kama kibaraka... hata aongee mazuri, huji kumuelewa.
 
Nadhani Mh. Ndugai yuko sahihi, kila mmoja ametumia platform yake

Wanabodi,

Naendelea kusisitiza kwenye mazuri tupongeze, kwenye mabaya tukosea na kwenye mapungufu tushauri, katika uendeshaji wa Bunge la safari hii, kiukweli wa dhati ya moyo wangu, safari hii Mhe. Spika anajitahidi sana kuliendesha vyema Bunge letu kiasi cha kustahili pongezi

Hivyo hili ni bandiko la pongezi kwa Spika wetu, Mhe. Job Yustino Ndugai jinsi anavyoliendesha Bunge hili kwa weledi sana. hivyo, nampa hongera Mhe. Spika kuliongoza Bunge letu vyema, hata hivyo, naomba kutoa angalizo muhimu la kihabari, sio busara sana, kulitumia Bunge letu kujibu hoja za muflslis na trivia Issues zinazoibuliwa kwenye mitandao ya kijamii. Baadhi ya hoja zinazojibiwa zina outwasha or ku downplay hoja rasmi za muhimu na za msingi!.

Hoja za mitandaoni zijibiwe mitandaoni na hoja rasmi za Bungeni ndizo zijibiwe Bungeni. Kufuatia sasa dunia inamilikiwa na mitandao ya kijamii, natoa wito kwa viongozi wetu wote, wawe na hangle zao za mitandao ya kijamii kama ilivyo kwa rais Magufuli, na baadhi ya mawaziri, Bunge pia liwe na Twitter account, Facebook account, Instagram account na YouTube channel yake, kisha kila kiongozi awe na social media accounts zake, ziwe manned na wasaidizi wao, mtu yoyote akiibua issue yoyote kwenye mitandao ya kijamii, ajibiwe huko huku, sio mtu aibuke kwenye mitandao ya kijamii kutuhumu, halafu anajibiwa rasmi Bungeni.

Mimi niliwahi kuitwa kuhojiwa na Kamati ya Bunge kwa tuhuma za kulidhalilisha Bunge, kufuatia makala yangu fulani niliyo iandika humu jf. Malala iliandikwa mtandaoni tarehe 7 September, 2017 Wabunge Wetu wa Ajabu!, Wanaachaje Bunge Lijipendekeze Kwa Serikali!, Wanajua Wajibu Wao?. Check 'n' Balance Itoke Wapi? - JamiiForums makala hii ilipokuwa mtandaoni, haikua issue, na baada ya kudumu humu jf zaidi ya miezi 6, ndipo gazeti la Raia Mwema likaichapisha gazetini,
View attachment 1410798
ndiko kukapelekea mimi kuitwa kuhojiwa na kamati ya Bunge tarehe 12/04/2018 ndipo nikaitwa Bungeni. Spika aagiza mwandishi Pascal Mayalla na Wahariri wa gazeti la Raia Mwema wahojiwe kwa kulidhalilisha Bunge - JamiiForums

Leo wakati Waziri Mkuu amekamilisha hotuba yake kuhitimisha bajeti yake, Waziri Mkuu amesema mambo makubwa mazuri na ya msingi sana kuhusu taifa letu na vita vya janga la Corona. Baada ya Waziri Mkuu kuhitimisha hotuba hiyo rasmi, katika kuahirisha Bunge, Mhe Spika akachomekea taarifa ya Tundu Lissu kutoka kwenye mitandao ya kijamii kwa kutumia muda wa zaidi ya dakika 10 kumzungumzia Tundu Lissu.

Kufuatia umuhimu wa hotuba ya Waziri Mkuu kuhitimisha bajeti yake, Mhe. Spika, hakupaswa kuchomekea kujimjibu Tundu Lissu kwa hoja alizoziibua mitandaoni. Hoja za mitandaoni zijibiwe mitandaoni zisijibiwe Bungeni, zina downplay umuhimu wa hotuba rasmi za kiserikali na sometimes zina outwash hotuba rasmi na muhimu za Bungeni kwa kujadili trivial issues zilizoibuliwa mitandaoni ambazo hazina maana yoyote or umuhimu wowote compared.

Vyombo vya habari vinaandika habari kutokana na uzito wa kihabari hivyo habari ya Spika kumjibu Tundu Lissu inaweza kupewa uzito na baadhi ya vyombo vya habari kuliko hata habari muhimu ya Waziri Mkuu.

Moja ya matumizi mazuri ya mitandaoni ya kijamii kama huu mitandao wetu wa JF, ni kuisaidia jamii, ikiwemo kuisaidia serikali yetu na pia kuwasaidia viongozi wetu, hivyo kufuatia mimi kuwa ni mwanahabari na Mhe Spika sio mwanahabari bali ni mtoa habari, baada ya hotuba muhimu kama ile ya Waziri Mkuu Bungeni, Mhe. Spika hakupaswa kutoa habari za yale makorokocho ya Lissu Bungeni.

Hili la kuwashauri viongozi wetu waongee nini, sisi jf tumeshauri sana na kiukweli tumesaidia sana viongozi wetu, serikali yetu na taifa letu.

Ushauri huu unatolewa very honestly kwa nia njema ya kusaidia without any malice aforethougts.

Namaliza kwa kumpongeza Spika kwa Kazi Nzuri, na Kumpongeza Waziri Mkuu kwa Hotuba Nzuri, na kuipongeza serikali yetu kwa hatua zote inazochukua kupambana na Corona

Nawatakia Jumatatu Jioni Njema.
Paskali
Rejea

Mada mbalimbali za mwandishi huyu kuhusu uendeshaji wa Bunge Letu

Je, Wajua Bunge linaweza kuvunjwa Siku 7 Zijazo?. lisipopokea ripoti ya CAG, Bunge linavunjwa kwa mujibu wa Katiba - JamiiForums

Vurugu za jana Bungeni: Chanzo ni Mhe. Job Ndugai!- Ni Dikteta Hatari Kuliko Spika Anne Makinda!. - JamiiForums

Wito: Wabunge Badilini Kanuni Kuondoa Udikteta wa Spika/N.Spika! - JamiiForums

Je, wajua kikatiba, CAG ana hadhi ya Jaji Mkuu?. Je, wajua ripoti ya CAG ni Zaidi ya Bill?. Je, wajua kwenye ripoti ya GAG, CAG ni zaidi ya Rais ? - JamiiForums

Mhe. Tundu Lissu, Please Acha Kumsulubu Spika Wetu!, Unammaliza Kabisa Hadi Ameshindwa Kazi!. - JamiiForums

Je, kukosekana kwa baadhi ya wabunge makini, machachari bungeni, kumepunguza ari na msisimko wa vikao vya bunge?. - JamiiForums

CHADEMA Wameliharibu Sana Bunge Letu! Hadi Mawaziri Wetu!, Kama Vipi Kifutwe Kabisa Tujue Moja?!. - JamiiForums

Nani Zaidi Kati ya Bunge na Mahakama?!. The Doctrine of "Separation of Powers" Nothing, Just a Myth! - JamiiForums

Je, Wajua Bunge linaweza kutoa azimio batili? CAG yuko kikatiba. Je, Bunge lina uwezo kutopokea ripoti ya CAG? - JamiiForums

Wabunge Wetu wa Ajabu!, Wanaachaje Bunge Lijipendekeze Kwa Serikali!, Wanajua Wajibu Wao?. Check 'n' Balance Itoke Wapi? - JamiiForums

Wapinzani msione aibu kushirikiana na CCM kwenye hoja zenye maslahi ya Taifa! Bashe ni mzalendo, aungwe mkono na wote! - JamiiForums

Vicky Kamata Anastahili Pongezi!, Asimama Kidete Kupinga Uonevu, Ubabe na Double Standards za Zungu! - JamiiForums

Kwa Hili! Hongera Sana Chadema, Hongera Mhe. Mbowe!, Sasa Muwege Mnasikilizaga Ushauri!. - JamiiForums

Waziri Mkuu anapotoa majibu mapesi kwa maswali mazito!: Ni uwezo or just saving faces?!.. - JamiiForums

Napendekeza Bunge Lianzishe Maswali Kwa Spika, Ili Maswali Kwa Waziri Mkuu Yabaki - JamiiForums
 
Wengi mnaomlaumu paschal kuhusu yote laiti mnngeshudia hata dk 10 za mahojianomahojiano kwenye kamati ya maadili mngenyamaza.

Naona aliandika mahali ni bora kunyamaza kuliko....

Pole mayalla endelea kupambania ubaba wa wanao ndani umma WA watz. Si rahisi lkn vumilia ukishindwa nyamaza najua si rahisi mwanahabari na PGDwa sheria kukubali kunyamaza kirahisi.

For the benefits of ur children nyamaza, kumbuka, karibuni wataanza kusoma jf. Hata kama wako lockdown huko...... Nyamaza labda utaokoa vilivyo na thamani kwako inaweza kuwa ulivyopoteza au unavyokaribia kupoteza.

Ni kweli bora angekaa kimya tu kuliko kuleta sifa za kumsifia mtu asiye na maana yoyote. Kimsingi watu wana uelewa mpana, unapoleta sifa za kijinga bandiko lote linaishia kupuuzwa.
 
Back
Top Bottom