Pongezi Maalum kwa Hon. Prof. Mbarawa na Hon. Lukuvi

Nelson Masaduki

JF-Expert Member
Oct 27, 2017
346
380
Professor Mbarawa na Hon. Lukuvi

Nikijaribu kuangalia makosa yenu, siyaoni. Nikiangalia mapungufu yenu naona mazuri zaidi kuliko mapungufu. Mnachapa kazi utadhani mmesoma pamoja na Mh. Rais.

Uchapakazi wenu ni nafuu kwa Watanzania wa hali za chini, kati na juu. Mambo mnayosimamia yanatugusa kila siku. Barabara na Ardhi.

Nawapa HEKO sana.
 
Naskia ndege ilimsubiri dk 45 ili aondoke nayo,kwa kweli ni mchapakazi kwa nguvu za bombadier
 
Back
Top Bottom