Pongezi Kwa Waziri Membe!!

Gigo

JF-Expert Member
Aug 6, 2006
456
46
Pongezi Kwa Waziri Membe!!

Niefurahi sana Waziri wangu wa mambo ya Nje Mheshimiwa Membe!! kwa jinsi alivyo sema!!
>Ati….. Mugabe ame Funga goli la kuotea!! ……….***! Fantastic ever thought before!!

Ni kweli!! Tanzania sasa ina panda !!!!! SORRY inapenda mpira wa miguu!! Na Bora iwe hivyo!! Doesn’t matter how long its takes!!ipo siku tutakua washindani kama walivyo washindani da wengine !!.Na hii hata Mimi nina amini!! Japo Marafiki zangu huwa hawa amini kwamba nina penda kama wanavyo penda kwenye soka!!

Kweli sina muda mwingi wa kuwa Footballmenia!!akini ina tusaidia kufikiria….ina tuweka pamoja..na ni mbadala wa Vita!! Tuwe na viongozi wazuri!!! Tuheshimine..hii sanaa ina wezekana!!

Lakini isiwe soka Tuu!! Hii ni Changamoto kwa viogozi wa Michezo yote!!Na ili tushinde wachezaji wetu lazima Washibe Soka
 
....Kiongozi wa upinzani katika bunge la Tanzania alisema mjadala wa Mugabe na Tsvangirai kuwa na serikali ya mseto ni sawa na mtu aliyekuibia mali yako then unamshawishi mgawane...

So hilo ni kama lile goli alilofunga Diego Maradona kwa mkono wa mungu kwenye world Cup 1990....
 
Pongezi Kwa Waziri Membe!!

Niefurahi sana Waziri wangu wa mambo ya Nje Mheshimiwa Membe!! kwa jinsi alivyo sema!!
>Ati….. Mugabe ame Funga goli la kuotea!! ……….***! Fantastic ever thought before!!

Ni kweli!! Tanzania sasa ina panda !!!!! SORRY inapenda mpira wa miguu!! Na Bora iwe hivyo!! Doesn’t matter how long its takes!!ipo siku tutakua washindani kama walivyo washindani da wengine !!.Na hii hata Mimi nina amini!! Japo Marafiki zangu huwa hawa amini kwamba nina penda kama wanavyo penda kwenye soka!!

Kweli sina muda mwingi wa kuwa Footballmenia!!akini ina tusaidia kufikiria….ina tuweka pamoja..na ni mbadala wa Vita!! Tuwe na viongozi wazuri!!! Tuheshimine..hii sanaa ina wezekana!!

Lakini isiwe soka Tuu!! Hii ni Changamoto kwa viogozi wa Michezo yote!!Na ili tushinde wachezaji wetu lazima Washibe Soka

ulitoa pongezi pindi walipofunga bao kama hilo kule zanzibar 2005?
 
Hatuna jipya kwa Mugabe papara tuuu JOJI KICHAKA atufurahie machoniiiii. wamekaa naye mkutanoni misri kimyaaaaa....wanarejea wanakenua midomo. UNAFIKIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII.......
 
Ni sawa kwa South Afrika..na Rassia...China na Vietinum.... kupinga Zimbabwe Isiwekewe Vikwazo!!...TUTAFUTE NJIA YA KUMUWEKEA vikwazo MUGABE lakini sio watoto na wananchi wa Zimbabwe...

Sijui una nielewa....

Sidhani kama mugabe ni mfano mzuri wa kuigwa na vizazi vyake!!
 
Thread Kama hii inakera Sijui kwanini nili I post in those days....
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom