Pongezi kwa wanawake wote wa JamiiForums na Dunia kwa ujumla

BabaMorgan

JF-Expert Member
Dec 18, 2017
4,045
10,476
Mimi BabaMorgan kwa niaba ya familia yangu(MamaMorgan na Morgan) napenda kutoa pongezi za pekee kwa wanawake wote wa nguvu wa humu jukwaani(JamiiForums).

Ukweli ni kuwa tunatambua michango yenu kwenye sekta mbalimbali kama malezi na usimamizi wa familia na hata pia kwenye ujenzi wa Taifa hampo nyuma.. Haitaji astashahada, stashahada au shahada kutambua wema mlionao kuhakikisha waume na watoto wenu wanafanikiwa kupitia kazi za mikono yenu.

Yapo mengi mazuri mliofanya ambayo hayana kikomo kiasi kwamba siku moja tu haitoshi kueleza mazuri yenu kwa Leo mimi niishie hapa.

Special for
-Skyclat
-Faiza foxy
-Demi
-Mama Deborah
-Menengelo
-Joanah
-Kwante
-Demiss
-Miss Natafuta
-Kasie (K matata)
-Sakayo
-Depal
-Paula paul
-Na kwa wanawake wote ambao wamo humu jukwaani.

Asante.
 
Back
Top Bottom