Pongezi kwa Wabunge wote..LAKIN?

MeMZALENDO

Member
Nov 24, 2013
5
2
Kikao cha bunge kilichoisikilza taarifa ya kamati ya Lembeli juu ya opereshen Tokomeza kwa kwel kilikua kizur sana kwan wananchi walifurahi sana pale walipoona wabunge wote wamekua kitu kimoja na kutetea wananchi.Ilkua ni furaha kuona mbunge wa Ccm,Chadema,Cuf na vyama vingine vyote wanasimama na kuchangia hoja iliyokua mezan na kuchukua maamuzi magum bila kuangalia uchama kama ilvyokua kwenye vikao vilivyopita.Nawapongeza sana wawakilishi bungen (Wabunge) kutetea wanyonge..
MASWALI YA KUJIULIZA
1.Je operesheni ile ilivyokua inaendelea serekali walikua hawajui kinachoendelea?
2.Opereshen ile ilikua inastahil kufanywa na wanajeshi?
3.Kikao kile ndio kikao cha kwanza wabunge kuona utendaj mbovu wa mawaziri mpaka wakavuliwa madaraka yao?
4.Vipi kuhusu Waziri mkuu na Hawa Gasia?
5.Je ni kwel wamewajibishwa kutokana na mapungufu ndan ya wizara zao au ni matokeo ya Katibu mkuu ccm na kikao kilichowaweka kitimoto baadhi ya mawazir?
6.Au ndio kujisafisha kwa ajili ya uchaguz wa 2015?
.....LAZIMA KAMA WANASIASA NA WACHAMBUZI TUYAFIKIRIE HAYA BILA HIVYO TUTAKUA TUNAENDA TU KAMA BENDERA FUATA UPEPO....
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom