Pongezi Kwa Wabunge wa CCM kutoisimamia Serikali kinyume Na kiapo chenu

Euphransia

JF-Expert Member
Jan 26, 2017
938
1,000
Nawapongeza sana wabunge wa CCM pamoja Na kiapo chao cha kuisimamia serikali wameamua kuwa Idara ya serikali.Nawaomba Wapinzani pamoja Na uchache wao wanajitahidi kupaza sauti nasi tunawasikia.Wabunge wa CCM hawaonekani kushangaa kwanini Bajeti walioipitisha ya 2016/2017 ya trilioni 19 Serikali imeshindwa kuitekeleza? Wabunge wa Upinzani wanapoihoji Serikali Wabunge wa CCM wanawapinga.Nawapongeza sana wabunge wa CCM Kwa msimamo wenu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom