Pongezi kwa Waarabu/ Wahindi waislamu wanaoishi hapa Tanzania. Mnyonge mnyongeni, haki yake.....!

Azarel

JF-Expert Member
Aug 25, 2016
19,952
2,000
Bila shaka yapo mabaya na mazuri ya wahindi waislamu na waarabu waislamu, lakini hakika hakuna mabaya ya uislamu bali mazuri tupu.
Mimi naamini wapo pia Waislam wachache weusi tu ambao ni wema sana, wanaosaidia binadamu wengine kama ''BINADAMU'' sio kwakuwa ni ''WAISLAM WENZAO''

LAKINI wengi wanawasaidia Waislam wenzao a.k.a Ndugu zao katika Imaan, wa dini nyingine hasa Wakristo na Wayahudi ni Makafiri

Tazama shule zao nyingi zinasajili wanafunzi na Waalimu kwa kigezo cha kuwa ''MUISLAM''

KWA MFANO, nina jamaa yangu Mwl. wa masomo ya science ni MKRISTO, juzi aliapply kazi ya ualimu katika shule moja ya kiislam inayofanya vizuri kiasi mkoani KILIMANJARO, ambayo ilitangaza nafasi hiyo bila kuweka kigezo cha dini kwenye tangazo, jamaa akaapply na nahisi kwakuwa aliwahi sana akaitwa chap na kufanyiwa usaili kisha akapata nafasi hiyo, akaanza kazi, baada ya wiki moja akaja jamaa Mwingine Muislam (late kabisa) akaomba nafasi na hakufanyiwa hata interview akachukuliwa, jamaa yangu akaitwa ofisini wakazungumza nae wakamrudishia pesa zake za nauli alizotumia kufika shuleni na nyingine kidogo wakamwachisha kazi.
 

Stroke

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
24,792
2,000
Hebu kwanza hayo mabaya yao ambayo umesema yapo mengi tu
Wengine hatuyajui
Mkuu hao jamaa ukifanya nao biashara yeyote kuwa makini mno kwenye malipo hakikisha wanakulipa pesa yote au la unapigwa. Waarabu ni wadhulumati mno.

Ila wao wakipigwa wanakuondoa kwa majini.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom