Pongezi kwa Shaka Hamdu Shaka, Katibu Mkuu UVCCM Taifa

KADA08

Member
Dec 2, 2017
44
152
Kijana huyu wa kizanzibar amestahili kuaminiwa tena na Ndugu Mwenyekiti wa CCM Taifa na UVCCM Taifa kushika wadhifa wa katibu mkuu UVCCM Taifa katika kipindi cha 2017-2022.

Awali alikuwa naibu katibu mkuu wa UVCCM Zanzibar ambapo alifanya kazi nzuri sana na kupandishwa kuwa kaimu katibu mkuu UVCCM Taifa ambapo alifanya kazi nzuri na yenye heshima kwa kufanya ziara nyingi za kukagua uhai wa jumuiya, kusimamia nidhamu ya utendaji, kuhakikisha hoja na propaganda za wapinzani zinajibiwa kwa wakati na uzito unaostahili.

Katika kipindi chake akikaimu nafasi hiyo Ndugu Shaka alitekeleza kwa vitendo majukumu ya kumuunga mkono, kumlinda, kumtetea na kumpigania Mhe Rais Dkt John Pombe Magufuli na Chama Cha Mapinduzi.

Ni ukweli uliowazi ni katika kipindi chake UVCCM ilionekana kwani aliwaibua pia vijana wengi na kuwapa nafasi ya kuitumikia jumuiya.

Namtakia kila la kheri katika kipindi hiki kwani vijana tunaimani naye pamoja na mwenyekiti wetu wa UVCCM Taifa na muunganiko wao tunategemea mambo makubwa.
 
Shaka, Naomba mshughulikie wazo la kupunguza changamoto ya ukosefu wa ajira kwa vijana kama ilivyoshauriwa humu Jf. Mkifanikiwa katika hilo mtakuwa mmefanya jambo kubwa, jambo jema na la kukumbukwa sana.

Asanteni!
 
Sijakuelewa, Shaka tayari ameshakuwa katibu mkuu au bado ila tu unampigia upatu ili awe
 
Shaka, Naomba mshughulikie wazo la kupunguza changamoto ya ukosefu wa ajira kwa vijana kama ilivyoshauriwa humu Jf. Mkifanikiwa katika hilo mtakuwa mmefanya jambo kubwa, jambo jema na la kukumbukwa sana.

Asanteni!
Yani ww tatizo la ajira kwa vijana wategemea ccm ndo watalitatua kwl?yani walitege wao waje kulitegua wao kbsa?ndo mana najiulizaga hv kumbe kuna watu wanaitegemea uvccm kbsa
 
Ndio. Wao ndio sana nafasi kubwa ya kuja na propososal nzuri zaidi na nishaeleza humu kwa nini.

Unasema wao ndio wamelitengeneza tatizo hill; huo ni uongo. Chqngamoto ya ukosefu wa ajira ni ya kidunia, na ni Ccm ambao wameanzisha vyuo kibao na hivyo kuzalisha graduate wengi.

Sijui wewe unadhani nani mwingine wa kutegemewa kwa sasa?
 
Basi akilitatua au akikupa mrejesho niTag na mm niione iyo fursa
 
Ndio. Wao ndio sana nafasi kubwa ya kuja na propososal nzuri zaidi na nishaeleza humu kwa nini.

Unasema wao ndio wamelitengeneza tatizo hill; huo ni uongo. Chqngamoto ya ukosefu wa ajira ni ya kidunia, na ni Ccm ambao wameanzisha vyuo kibao na hivyo kuzalisha graduate wengi.

Sijui wewe unadhani nani mwingine wa kutegemewa kwa sasa?
Nyie watu siku tukichapana tutaheshimiana...
I bet,sitofikisha miaka 45{2030} ,bila kuchapana ili nidhamu ichukue mkondo wake...ccm mmevuka red line....
 
Back
Top Bottom