Pongezi kwa Serikali ya awamu ya tano kudhibiti siasa za harakati zilizokuwa zinachelewesha maendeleo

Mleta hoja sijui kama umeangalia uhalisia wa kudhibiti siasa za upinzani, anyway naamini ndipo akili yako ilipokwamia!
 
Nini maana ya chagu wa malunde?
Jamani wana JF palipo na ukweli lazima usemwe.

Huko nyuma kuna mambo yaliachwa lakini hayakuwa na tija kwa umma wa watanzania.

Hasa haya mambo yalishamiri sana awamu ya nne ya Jakaya Kikwete.

Yaani miaka kumi ya utawala wa Jakaya ilikuwa ni siasa zisizo na tija kwa taifa na raia wake.

Operation Sangara, maandamano na mikutano ya siasa isiyo na tija bali kuhamasisha umma kupinga maendeleo.

Baada ya kupigwa marufuku,tumeshuhudia mambo makubwa yakifanyika hapa Tanzani. Mfano ni ujenzi wa Hospital zaidi ya 70 za wilaya ndani ya miaka minne,vituo vya afya 450+ n.k

Maoni yangu ni kuwa hii ni hatua nzuri na sasa ni wasaa serikali ya awamu ya tano kuhakikisha inawaletea maendeleo makubwa watanzania, maana hakuna tena obstacle to progress.
 
Back
Top Bottom