Pongezi kwa Serikali ya awamu ya tano kudhibiti siasa za harakati zilizokuwa zinachelewesha maendeleo

Unajua hata mjinga akijua kusoma hutembea kijiji kizima kupiga mayowe kuonyesha kuwa anajua kusoma, hivyohivyo hata masikini akipata daraja la mfugale anapiga mbija kuwa hayo ndio maendeleo
 
Mbona upo nje ya mada?
 
Hivi nawaza tu kama magu akitoka madarakani .je wale viongozi waliokuwa wanamsifia wataendelea kumsifu. Je atakuwa tayari kukubaliana na msongo wa mawazo kwà kashfa na matusi pamoja na lawama kweli.
 
Jamani wana JF palipo na ukweli lazima usemwe.

Huko nyuma kuna mambo yaliachwa lakini hayakuwa na tija kwa umma wa watanzania.

Hasa haya mambo yalishamiri sana awamu ya nne ya Jakaya Kikwete.

Yaani miaka kumi ya utawala wa Jakaya ilikuwa ni siasa zisizo na tija kwa taifa na raia wake.

Operation Sangara, maandamano na mikutano ya siasa isiyo na tija bali kuhamasisha umma kupinga maendeleo.

Baada ya kupigwa marufuku,tumeshuhudia mambo makubwa yakifanyika hapa Tanzani. Mfano ni ujenzi wa Hospital zaidi ya 70 za wilaya ndani ya miaka minne,vituo vya afya 450+ n.k

Maoni yangu ni kuwa hii ni hatua nzuri na sasa ni wasaa serikali ya awamu ya tano kuhakikisha inawaletea maendeleo makubwa watanzania, maana hakuna tena obstacle to progress.
Changudoa
 
Chato Revolution.
 
Kwanza kabisa maendeleo ni nini?

Pili, elezea kwa mfano, propaganda mfu moja ya kupinga maendeleo ni ipi tuijadili kwa kina.

Ili tuthibitishe kwamba, wewe kuongelea "propaganda mfu" ambayo hata hujaitaja kwa detail, nako si hiyo "propaganda mfu" unayoisema.

Weka mfano specific na maneno verbatim yaliyotumika tujadili hapa.

Halafu jiridhishe upande wa chama tawala nako hakuna hizo propaganda mfu unazozisema, ili tujue kwamba, usichotaka ni pro[paganda mfu kweli, na kuwa huna lengo la kushambulia upinzani kwa "double standard" tu.
Maswali mazuri na hoja mwanana,mtoa mada atufafanunulie vizuri
 
Watu kama hawa JF ingekuwa inawafungia tu.Maana ni wanafiki kupindukia,unasifia hata kitu roho inakataa!!?
 
Jamani wana JF palipo na ukweli lazima usemwe.

Huko nyuma kuna mambo yaliachwa lakini hayakuwa na tija kwa umma wa watanzania.

Hasa haya mambo yalishamiri sana awamu ya nne ya Jakaya Kikwete.

Yaani miaka kumi ya utawala wa Jakaya ilikuwa ni siasa zisizo na tija kwa taifa na raia wake.

Operation Sangara, maandamano na mikutano ya siasa isiyo na tija bali kuhamasisha umma kupinga maendeleo.

Baada ya kupigwa marufuku,tumeshuhudia mambo makubwa yakifanyika hapa Tanzani. Mfano ni ujenzi wa Hospital zaidi ya 70 za wilaya ndani ya miaka minne,vituo vya afya 450+ n.k

Maoni yangu ni kuwa hii ni hatua nzuri na sasa ni wasaa serikali ya awamu ya tano kuhakikisha inawaletea maendeleo makubwa watanzania, maana hakuna tena obstacle to progress.
Mitano tena kudadeki
 
Back
Top Bottom