Pongezi kwa serikali kwa kufungia tovuti za ngono ila bado zipo nyingi tu zifungiwe zote

Niipongeze serikali ya kwa hili la kufungia tovuti za ngono

Ningeomba Tcra waendelee kuchanja mbuga bado kuna vitovuti vingi mmeviacha natamani na nipo tayari kutoa ushirikiano wa kuzianisha zifungiwe

Zinatakiwa zifungiwe zote na baada ya hapo ianze kampeni ya safisha safisha ya video za ngono iwe ni kosa la jinai na adhabu kali

Tusipoangamiza hili tatizo vizazi vyetu vitakuja kuumia zaidi

Hatuwezi kuwa na taifa la mapornstar au waangalia ngono kwanza mabando yanaishia huko

Madhara ya hizo porn ni

1.Zinahamasisha ushoga na usagaji

2.Zinahamasisha ulawiti

3.Zinahamasisha ubakaji

4.Zinahamasisha ngono na watoto wadogo under 18

5.Zinahamasisha na kusababisha tatizo la nguvu za kiume kupitia punyeto

6.Zinaharibu watu saikolojia

7.Zinashusha utu wa mtu

8.Zinashusha thamani ya mwanamke

9.Zinapoteza mida wa watu kuwa busy badala ya kufanya kazi

10.Zinaleta hasara za kiuchumi mfano kumaliza mabando

11.Zinaleta uraibu wa kudumu yaani permanent addiction.

12.Zinaharibu maadili ya watu na kuleta maadili mabovu kupromote tabia za kishenzi

13.Zinaongeza uasi wa kiroho na kuharibu tamaduni na mila

Zipigwe marufuku na vita kwa nguvu zote.......
VPN
 
Mungu ibariki Serikali ya Mama Samia pamoja na waziri wake Ndugulile kwa kurekebisha maadili.
safi sana kwa hatua hii nzuri ya kufungia websites za ngono na uchafu wote. sasa fuatilieni na maeneo mengine ambayo Maudhui yake ni ya kingono. watanzania walikuwa wamedumaa akili kwa kuwaza ngono tu, badala ya kuwaza maendeleo wao ni kungonoka tu.
afadhali sasa angalau watafanya kazi kwa maarifa na bidii.
VPN
 
Niipongeze serikali ya kwa hili la kufungia tovuti za ngono

Ningeomba Tcra waendelee kuchanja mbuga bado kuna vitovuti vingi mmeviacha natamani na nipo tayari kutoa ushirikiano wa kuzianisha zifungiwe

Zinatakiwa zifungiwe zote na baada ya hapo ianze kampeni ya safisha safisha ya video za ngono iwe ni kosa la jinai na adhabu kali

Tusipoangamiza hili tatizo vizazi vyetu vitakuja kuumia zaidi

Hatuwezi kuwa na taifa la mapornstar au waangalia ngono kwanza mabando yanaishia huko

Madhara ya hizo porn ni

1.Zinahamasisha ushoga na usagaji

2.Zinahamasisha ulawiti

3.Zinahamasisha ubakaji

4.Zinahamasisha ngono na watoto wadogo under 18

5.Zinahamasisha na kusababisha tatizo la nguvu za kiume kupitia punyeto

6.Zinaharibu watu saikolojia

7.Zinashusha utu wa mtu

8.Zinashusha thamani ya mwanamke

9.Zinapoteza mida wa watu kuwa busy badala ya kufanya kazi

10.Zinaleta hasara za kiuchumi mfano kumaliza mabando

11.Zinaleta uraibu wa kudumu yaani permanent addiction.

12.Zinaharibu maadili ya watu na kuleta maadili mabovu kupromote tabia za kishenzi

13.Zinaongeza uasi wa kiroho na kuharibu tamaduni na mila

Zipigwe marufuku na vita kwa nguvu zote.......
Safi sana.
 
Hawawezi kufungia zote, sites zipo nyingi sana. Leo tu nimejaribu kuingia sites Kama 10 na zinafunguka.
Pia ukiweka VPN zoote unapata
Hao wanaofungia hizi porn sites wana dhambi nyingi tu kuliko hata wanaoangalia
Kwanza wao kabla hawajazifungia wanaziangalia kwanza
 
Niipongeze serikali ya kwa hili la kufungia tovuti za ngono

Ningeomba Tcra waendelee kuchanja mbuga bado kuna vitovuti vingi mmeviacha natamani na nipo tayari kutoa ushirikiano wa kuzianisha zifungiwe

Zinatakiwa zifungiwe zote na baada ya hapo ianze kampeni ya safisha safisha ya video za ngono iwe ni kosa la jinai na adhabu kali

Tusipoangamiza hili tatizo vizazi vyetu vitakuja kuumia zaidi

Hatuwezi kuwa na taifa la mapornstar au waangalia ngono kwanza mabando yanaishia huko

Madhara ya hizo porn ni

1.Zinahamasisha ushoga na usagaji

2.Zinahamasisha ulawiti

3.Zinahamasisha ubakaji

4.Zinahamasisha ngono na watoto wadogo under 18

5.Zinahamasisha na kusababisha tatizo la nguvu za kiume kupitia punyeto

6.Zinaharibu watu saikolojia

7.Zinashusha utu wa mtu

8.Zinashusha thamani ya mwanamke

9.Zinapoteza mida wa watu kuwa busy badala ya kufanya kazi

10.Zinaleta hasara za kiuchumi mfano kumaliza mabando

11.Zinaleta uraibu wa kudumu yaani permanent addiction.

12.Zinaharibu maadili ya watu na kuleta maadili mabovu kupromote tabia za kishenzi

13.Zinaongeza uasi wa kiroho na kuharibu tamaduni na mila

Zipigwe marufuku na vita kwa nguvu zote.......
Kuna vitu unaandika kwasababu umesikia alafu unaenda kusifia!!!..Chunguza Jambo kabla hujaandika humu!!...Mbona hizo site zipo open tu nashangaa mnasema mmefungia nini na wapi?!!..mbona huko Facebook, Twitter, linkedin,YouTube ,Instagram na website nyengine mambo bado hadharani!!..
 
Wanasema wanatumia vpn kupata access, vinginevyo serikali watumie njia nyingine zaidi ku-block hizo sites...
 
nguvu inayotmika kufunga hizi kitu ...ingetumika hata kuwapelekea watoto wetu ka-komputer kamoja kila darasa.....hii kitu huwezi zuia kabisa
 
Back
Top Bottom