Pongezi kwa Meneja wa NSSF Kinondoni

Status
Not open for further replies.

mrkarim09

New Member
Aug 31, 2014
1
4
Habari, naomba kutoa waraka huu mfupi iwe sehem ya kunena yalio mazur kuhusu NSSF Tawi la Kinondoni.

Ni kweli NSSF ni suala ambalo limekua pasua kichwa mno, hususan kwa watumishi waliopewa dhamana ya kuhudumu wa wanachama, mim nilikua sehem ya muhanga, sintotaja ni kampun gan nilihitim mkataba, ila tulisumbuana na mwajir takriban 6 months plus kulipa, lkn kilichokua kikifanyika ni mwajiri alikua akifanya mawasiliano ya karib Zaid na maafisa ukaguz wa NSSF.

Kitu ambacho tulikua tukipigwa danadana wafanyakazi tuliohitaji stahiki zetu, kila tulipofika NSSF (tawi la Kinondon Dar es Salaam) na kuomba kuonana Manager walikua wakal mno, unakuta unaambiwa Manager hayupo, mpaka tulipopaza sauti ndio tukaonana na Meneger aitwae FUNGO, alistaajabu kutofaham chochote kuhusu kesi yetu.

Ni ghafla Ndan ya 1week kila mmoja aliweza kilipwa madai yake, ni kiongozi ambaye anasuluhu papo Apo, yaani Kama huna mtu ni muhanga na mamba ya NSSF kwa tawi la Kinondon (ubungo plaza), wewe nyoosha kwa Meneger Fungo tu.

Watumishi ni wababaishaji tu, hawakwambii ukweli wanakwambia pesa iko bank, Mara pesa iko process, Mara andika barua, yaani sijui ata idara usika wanakua wapi. Kuna watumish wanajisahau wajib wao.
 
We Fungo acha kutuhadaa, wewe ndo kikwazo kwa mafao ya watu leo unajifanya msafi
 
Baada ya Magufuli kufa sasa Fungo ndio mtetezi wenu wanyonge...

Dah nchi isiyo na mfumo thabiti inaishia kutegemea utashi wa watu.
Mkuu - hiyo mifumo hata ikiwekwa, wasimamiaji wa hiyo mifumo ni watu haohao. Hivyo hata mifumo, bado inahitaji watu wasafi. Nchi haiwezi kwenda mbele kwa uwa tu na mifumo misafi, inahitaji pia watu wasafi. Mifumo pekee ambayo inaweza kujiendesha yenyewe ni "Robot" tu. Ingawa nayo huwa inakuwa controlled au kupewa data na watu pia. Sasa huyo anaecontorl au kuipa data "Robot" nae akiwa hovyo, basi matatizo yanaendelea. Hivyo kupigia kelele mifumo, au hizo nyimbo watu wanazoimba za mifumo; bila watu sahihi- hakutoi suluhu.
 
Baada ya Magufuli kufa sasa Fungo ndio mtetezi wenu wanyonge...

Dah nchi isiyo na mfumo thabiti inaishia kutegemea utashi wa watu.
Fungo na Maira wa Temeke ni wala rushwa namba moja.
Huyo maira kahamishwa hataki kuondoka yuko ofisini temeke anavuta rushwa kwa malipo makubwa makubwa,
Kuna mwanachama alikua anadai kama 200m alivyofukuzia kulipa siku mbili tu wamemlipa, ntawawekea details badae ili takukuru mshugulike nae.
Jana alimtukana staff wa kike Anaitwa Ashura hali ilopelekea dada wa watu kuzimia na kulazwa hospitali.

Hawa jamaa ni hovyo sana

Sent from my SM-G973U using JamiiForums mobile app
 
Mbona details haujaweka, umbea ndo huo sasa
 
Habari, naomba kutoa waraka huu mfupi iwe sehem ya kunena yalio mazur kuhusu NSSF Tawi la Kinondoni.

Ni kweli NSSF ni suala ambalo limekua pasua kichwa mno, hususan kwa watumishi waliopewa dhamana ya kuhudumu wa wanachama, mim nilikua sehem ya muhanga, sintotaja ni kampun gan nilihitim mkataba, ila tulisumbuana na mwajir takriban 6 months plus kulipa, lkn kilichokua kikifanyika ni mwajiri alikua akifanya mawasiliano ya karib Zaid na maafisa ukaguz wa NSSF.

Kitu ambacho tulikua tukipigwa danadana wafanyakazi tuliohitaji stahiki zetu, kila tulipofika NSSF (tawi la Kinondon Dar es Salaam) na kuomba kuonana Manager walikua wakal mno, unakuta unaambiwa Manager hayupo, mpaka tulipopaza sauti ndio tukaonana na Meneger aitwae FUNGO, alistaajabu kutofaham chochote kuhusu kesi yetu.

Ni ghafla Ndan ya 1week kila mmoja aliweza kilipwa madai yake, ni kiongozi ambaye anasuluhu papo Apo, yaani Kama huna mtu ni muhanga na mamba ya NSSF kwa tawi la Kinondon (ubungo plaza), wewe nyoosha kwa Meneger Fungo tu.

Watumishi ni wababaishaji tu, hawakwambii ukweli wanakwambia pesa iko bank, Mara pesa iko process, Mara andika barua, yaani sijui ata idara usika wanakua wapi. Kuna watumish wanajisahau wajib wao.
Safi sana , hongera zake, mungu ambariki sana kwa kuwajali binadam wenzake
 
Fungo na Maira wa Temeke ni wala rushwa namba moja.
Huyo maira kahamishwa hataki kuondoka yuko ofisini temeke anavuta rushwa kwa malipo makubwa makubwa,
Kuna mwanachama alikua anadai kama 200m alivyofukuzia kulipa siku mbili tu wamemlipa, ntawawekea details badae ili takukuru mshugulike nae.
Jana alimtukana staff wa kike Anaitwa Ashura hali ilopelekea dada wa watu kuzimia na kulazwa hospitali.

Hawa jamaa ni hovyo sana

Sent from my SM-G973U using JamiiForums mobile app

Ila kuna watu wana mitusi duniani humu.
Yaani mtu anapigwa dozi ya matusi mpaka anazimia na kulazwa hospital!!.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom