Pongezi kwa kampuni na uongozi wa Kilimanjaro Express kwa kuanzisha route mpya ya Nyanda za juu kusini

Nikipanda, konda ntakuja kuongea nae napokaribia kituo cha kushuka tu.
Uhusiana wako ndani ya basi ni wa kondakita kwani yeye ndiye anatakiwa akupe kinywaji, pipi au biskuti, kurekebisha sauti ya muziki au TV na hali ya hewa ndani ya basi kama imo a/c na endapo utahitaji msaada binafsi pamoja na kumjulisha dereva kituo utakachoteremkia.
Inaelekea umezoea Costa au daladala.
 
Mabasi ya route ya Mbeya yalikua yamechakaa, yanavuja kukiwa na mvua na wanakua wa mwisho kuondoka stendi.. Wafanyakazi jeuri, wanakalisha abiria kwenye vigoda..
Kwa maana nyingine walikuwa wanauza tiketi zote zinaisha si ndio? Basi hapo lilikuwa linapendwa na abiria.
 
Salam kwenu Wakuu.

Pongezi hizi ni kwa kampuni na uongozi wa Kilimanjaro Express kwa kuanzisha route mpya ya Nyanda za juu kusini(MBEYA).
Nimeona Bango wakitangaza ku launch safari zao za Mbeya
Nadhan wataleta ushindani kwa baadhi ya kampuni hivyo hudumu huenda zikaboreka.

Ushauri kwao, hawa jamaa wana gari nzuri ila shida wana Makondakta wao Madada jeuri sana, angalieni watu smart.

Note: sina uhusiano na hawa Jamaa ila napenda tu walivyo na Gari nzuri, sikuwahi kusikia klm imelaza watu njian.
Na Songea wanarudi?
 
Weeee thubutu
Kilimanjaro ilifia Kibaha pale halafu nilikua na mizigo na watoto

Nilikasirika siku ile kwangu limebaki kuwa gari la mizigo tu.
Ha ha haaa,
Sijaelewa mleta mada unaposema kinda wa gari ya safari ndefu jeuri kwa abiria kivipi? Sababu ukikata tiketi ya Basi la safari ndefu uhusiano wako na konda unakuwa haupo.Wewe no kukaa kwenye kiti chako basi .Huo ujeuri na konda untokea wapi
Hujasafiri na huelewi, safari ni zaidi ya kupata tiket
 
Salam kwenu Wakuu.

Pongezi hizi ni kwa kampuni na uongozi wa Kilimanjaro Express kwa kuanzisha route mpya ya Nyanda za juu kusini(MBEYA).
Nimeona Bango wakitangaza ku launch safari zao za Mbeya
Nadhan wataleta ushindani kwa baadhi ya kampuni hivyo hudumu huenda zikaboreka.

Ushauri kwao, hawa jamaa wana gari nzuri ila shida wana Makondakta wao Madada jeuri sana, angalieni watu smart.

Note: sina uhusiano na hawa Jamaa ila napenda tu walivyo na Gari nzuri, sikuwahi kusikia klm imelaza watu njian.
Kashindwa Moro arusha ndo ataweza mbeya?
Akidumu miezi atakuwa mwanaume kule alikuwa na Jina zamani kipindi mabasi yake ni ya kuchonga
 
Salam kwenu Wakuu.

Pongezi hizi ni kwa kampuni na uongozi wa Kilimanjaro Express kwa kuanzisha route mpya ya Nyanda za juu kusini(MBEYA).
Nimeona Bango wakitangaza ku launch safari zao za Mbeya
Nadhan wataleta ushindani kwa baadhi ya kampuni hivyo hudumu huenda zikaboreka.

Ushauri kwao, hawa jamaa wana gari nzuri ila shida wana Makondakta wao Madada jeuri sana, angalieni watu smart.

Note: sina uhusiano na hawa Jamaa ila napenda tu walivyo na Gari nzuri, sikuwahi kusikia klm imelaza watu njian.
Kitu Marcopolo
 
Back
Top Bottom