Pongezi kwa kampuni na uongozi wa Kilimanjaro Express kwa kuanzisha route mpya ya Nyanda za juu kusini

Sijaelewa mleta mada unaposema kinda wa gari ya safari ndefu jeuri kwa abiria kivipi? Sababu ukikata tiketi ya Basi la safari ndefu uhusiano wako na konda unakuwa haupo.Wewe no kukaa kwenye kiti chako basi .Huo ujeuri na konda untokea wapi
Uhusiana wako ndani ya basi ni wa kondakita kwani yeye ndiye anatakiwa akupe kinywaji, pipi au biskuti, kurekebisha sauti ya muziki au TV na hali ya hewa ndani ya basi kama imo a/c na endapo utahitaji msaada binafsi pamoja na kumjulisha dereva kituo utakachoteremkia.
Inaelekea umezoea Costa au daladala.
 
Huyu alishawahi kumiliki yutong f11, ambaye hakuwahi kumiliki michina ni dar express pekee Tanzania nzima
Sawaya ni mmiliki..ila mabasi yao yaliwahi kuhudumu njia hiyo ya Mbeya,Tukuyu na Songea, kipindi kile yalikuwa na rangi ya kijani
Ila ni kampuni pekee iliyobaki na gari nyingi kama sio zote za aina ya Scania
 
Uhusiana wako ndani ya basi ni wa kondakita kwani yeye ndiye anatakiwa akupe kinywaji, pipi au biskuti, kurekebisha sauti ya muziki au TV na hali ya hewa ndani ya basi kama imo a/c na endapo utahitaji msaada binafsi pamoja na kumjulisha dereva kituo utakachoteremkia.
Inaelekea umezoea Costa au daladala.
Napanda ndege pole mpanda mabasi unayetaka kila mhudumu wa kike kwenye Basi awe anakukenulia meno njia nzima kwa hicho kihela chako kidogo Cha nauli unataka upewe huduma ya kwenye ndege na kondakta!!!!!
 
Ficha ujinga wako.
 
Salam kwenu Wakuu.

Pongezi hizi ni kwa kampuni na uongozi wa Kilimanjaro Express kwa kuanzisha route mpya ya Nyanda za juu kusini(MBEYA).
Nimeona Bango wakitangaza ku launch safari zao za Mbeya
Nadhan wataleta ushindani kwa baadhi ya kampuni hivyo hudumu huenda zikaboreka.

Ushauri kwao, hawa jamaa wana gari nzuri ila shida wana Makondakta wao Madada jeuri sana, angalieni watu smart.

Note: sina uhusiano na hawa Jamaa ila napenda tu walivyo na Gari nzuri, sikuwahi kusikia klm imelaza watu njian.

Manake wamekimbia league ngumu ya kaskazini kwa gari zao za zamani manake hii ni exit route wamejichagulia.
Njia hii manake hawachagui gari kama watu wa chuga
 
Sawaya ni mmiliki..ila mabasi yao yaliwahi kuhudumu njia hiyo ya Mbeya,Tukuyu na Songea, kipindi kile yalikuwa na rangi ya kijani
Ila ni kampuni pekee iliyobaki na gari nyingi kama sio zote za aina ya Scania
Jamaa wana Scania no. A na zimesimama fresh kabisa.
 
Nashauri hata Dar Express waanzishe pia route za huko wasing'ang'anie route za kaskazini tu. Wote waende pia hadi kanda ya ziwa
 
Manake wamekimbia league ngumu ya kaskazini kwa gari zao za zamani manake hii ni exit route wamejichagulia.
Njia hii manake hawachagui gari kama watu wa chuga
Umeshawahi kwenda pale Shekilango kwny ofisi zao ukakuta Mabus ya K'njaro yamekosa wateja?

Jamaa hawana mabus mapya mapya saaaaaana lkn wana wateja loyal sana kwao,ukiweka na ule mwendo wa mdogo mdogo barabarani hapo ndo watu huwaelezi kitu kwa k"njaro.
 
Wakati huo yalijulikana kwa jina la Sawaya

Nadhani huenda umechanganya kidogo Mkuu
Sawaya ni jina la koo la kichaga eneo la juu kidogo ya Shule ya secondary Marangu na mmiliki wa mabasi hayo ya kilimanjaro ni kutokaa ukoo wa kina Towo kabla hujafika marangu mtoni
 
Sijachanganya mkuu,mwanzo yaliitwa hivyo, baada ya kuua sana ndio wakabadili jina na kuita Kilimanjaro express
 
Sijachanganya mkuu,mwanzo yaliitwa hivyo, baada ya kuua sana ndio wakabadili jina na kuita Kilimanjaro express

Sigahamu sana hilo ila mmiliki ni kutoka katika ukoo wa kina Towo ,Moshi mjini anaishi mtaa mmoja na kina Frank Ngowi ,Na Lasway
 
SI HABARI MPYA HII.
2000-2001 NDIYO ILIKUWA MARA YA MWISHO KWA HIZI BASI KUKANYAGA MBEYA ILIPOGEUZA TO DAR IKABAKI STORY.

Nafaham mshindani wake kipindo hicho alikuwa Scandinavia Express ila ukwasi uliwasumbua wakachemka.

Juzi juzi walianza route ya Moro-Arusha mara paaa wamechomoa, Ukwasi huo.

NB. KLM Biashara ya mabasi mnaifaham so muwe na subra kwenye njia mpya.
 
Hiyo route ya hayo mabasi ilikuwepo huko sema kuna kipindi kampuni iliyumba wakasimama.
Mabasi ya route ya Mbeya yalikua yamechakaa, yanavuja kukiwa na mvua na wanakua wa mwisho kuondoka stendi.. Wafanyakazi jeuri, wanakalisha abiria kwenye vigoda..
 
Back
Top Bottom