Pongezi kwa Bilal Muslim Mission of Tanzania


NZURI PESA

NZURI PESA

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2011
Messages
5,588
Likes
2,342
Points
280
NZURI PESA

NZURI PESA

JF-Expert Member
Joined Mar 25, 2011
5,588 2,342 280
Napenda kuwapongeza kwa dhati kabisa JUMUIYA YA KIISLAM YA BILAL kwa kutoa huduma ya upimaji na matibabu ya macho kwa wakazi wa Dodoma.Pamoja ya kuwa lengo lilikuwa Wakazi wa Dodoma lakini imewafaidisha wagonjwa kutoka mikoa mbalimbali wengine kutoka Mara,Morogoro,Singida na kadhalika.Binafsi naipongeza timu nzima ya madaktari na wahudumu wa Jumuiya hiyo ya BILAL MUSLIM MISSION kwa kuwahudumia wagonjwa wengi sana kwa usahihi na wepesi wa hali ya juu bila kujali jinsia,dini,rangi wala nafasi ya mtu.Kwa mara ya kwanza nimeshuhudia shughuli hiyo iliyo tukutanisha wakazi mji wa Dodoma na vitongoji vyake katika Viwanja vya Dar ul muslimeen
 

Forum statistics

Threads 1,274,336
Members 490,676
Posts 30,508,835