Pongezi kwa askari trafic waliokuwa wakiongoza magari kwenye daraja la mto mpiji leo

Muk

JF-Expert Member
Sep 4, 2012
547
70
nawapa pongezi za Zati kabisa kwa askari walio kuwa wakiongoza magari kwenye hilo daraja maana pamoja na maji kujaa kwenye hilo daraja ambalo lipo mbele kidogo ukivuka mizani ya kibaha milemoja ukiwa unaingia dar jamaa walitoa msaada mkunwa sana. Pongezi kwao.
jamaa walivua viatu na kuingia kwenye maj.i na kuanza kuyaongoza magari yapite vipi. kweli hawa jamaa wamejitaidi na wametoa msaada mkubwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom