IKULU: Rais Magufuli amteua Dkt. Bashiru Ally Kakurwa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi

Kanda ya ziwa tena pembezoni, ngara huko
Kuna kipindi nilikuwa nafikiri Magufuli anaharibu mambo kwa ushamba tu, kwa ujinga, kwa kutojua, kwa ubishi, na kwa kutosikiliza watu.

Granted, hizo sifa nyingi kama si zote anazo.

Lakini kuna mambo mengi anafanya deliberately, kwa manipulation, Machievallian machinations, calculations etc.

Hapa naona kuna mkakati wa kukisimika chama deep kabisa kwenye civil service huko.
 
Kwa hiyo anakuwa Katibu Mkuu wa Chama na Katibu Mkuu Kiongozi kwa wakati mmoja au anaacha kuwa katibu mkuu wa CCM?

Vipi kuhusu muongozo wa utumishi serikalini unaotenganisha mambo ya chama na utumishi wa umma serikalini?

Hata kama atajiuzulu Ukatibu Mkuu CCM, huu uteuzi unaonesha kwamba utumishi serikalini unaenda kupelekwa kichama chama zaidi.
Siku hizi sheria za nchi hazina maana kabisa kwa hawa watawala wetu.
 
Ile mambo ya kutenganisha chama na utumishi ni story tu...maana watumisho wote wa serikali wa kuteulia huwa ni wanachama wa chama.

Alafu ni muhimu sana kwa mtumishi kuwa ccm ili aweze itekeleza ilani ya chama vizuri bila mgongano wa kimaslahi.
Ulivyo wa ajabu sijui hata hiyo shule ulisoma ikusaidie nini.

Utumishi wa umma hatutakiwi kuwa na nasaba na chama cha siasa halafu wewe unazungumzia mambo ya ilani wakati hili ni katazo la kisheria ??
 
..kwa nafasi yake ya Chief Secretary bila kuwa balozi lazima apewe diplomatic passport.

..nadhani hata WABUNGE huwa wanapewa diplomatic passports. hata wake wa mabalozi wanapewa diplomatic passports.

..wengine watanirekebisha kama nimekosea.

cc MALCOM LUMUMBA, Richard
Hapana...sio kweli...na if that is the case...why bother give/elect a chief secretary to ambassadorial role that he would never fulfill!?... check your facts.
 
Jf ya siku hizi ina vilaza sana. Balozi Kijazi alipokuwa KM alikuwa balozi wa nchi gani? Balozi Sefue alipokuwa KM alikuwa balozi wa nchi gani? Vipi kuhusu Balozi Mahiga alipokuwa waziri alikuwa balozi wa nchi gani pia?
John Kijazi alikuwa Balozi India toka siku nyingi sana kwahiyo alikuwa na title ya Balozi kwa sababu alishawahi kuteuliwa kuwa Balozi, kama ilivyo kwa Balozi Khamis Khagaheki na wengineo wenye title za ubalozi.

Hapa tumepigwa
 
Sefue alikua balozi USA kabla ya kua katibu mkuu....kasome wasifu wake kabla ya kuleta undezi wako hadharani
Hawa watoto wenye vipumbu vidogo vidogo wakipewa bando na Polepole huwa wanaropoka chochote kikubwa waonekane wanatumia bando kwa kazi walizopewa.
 
Mara nyingi watu huwa wanaitwa kwa vyeo vyao vikubwa walivyofikia.

Hivyo, hata Mwinyi alikuwa balozi wa Tanzania Misri, lakini watu wanamuita Rais Mwinyi.
Mkapa baada ya kuwa balozi akawa waziri lkn hakuitwa balozi, kama ilivyokuwa kwa Mahiga
 
Rejea Gavana wa BoT ambaye ni mwanasheria na hana taaluma wala backgroud ya uchumi na fedha..lengo lake lilikua nn?
Angalia mwenendo wa BOT kwa sasa utajionea
Sheria ya BOT Act imeweka vigezo vya kitaaluma vya mtu kuteuliwa kuwa Gavana wa bank kuu ya Tanzania moja ya Taaluma zilizotajwa ni Sheria.

Hivyo kuhusu uteuzi wa Gavana wa Bank Kuu haukuwa na walakini na Gavana mwanasheria wa bank kuu alishawahi kuteuliwa huko nyuma nafikiri ni Bob Makani
 
Sefue alikua balozi USA kabla ya kua katibu mkuu....kasome wasifu wake kabla ya kuleta undezi wako hadharani
Unajua chanzo cha kuandika nililoandika ni nini? Kuna mtu nilikuwa namjibu anashangaa KMK kuwa balozi, acha ujinga.
 
Ninadhani wale walihudumu kwenye ubalozi kabla ya kuwepo katika hizo nafasi,kwa hiyo walitoka na vyeo hivi huko walikokuwa.Nisahihishe
Ni Kweli Mkuu, lakini si ajabu KMK kuwa balozi kama ambavyo niliyemjibu alikuwa anashangaa, kwa nilivyomuelewa ukiwa balozi basi lazima uwe na nchi unaiwakilisha.
 
..kwa baadhi it is a big.

..na wengine wanaona it is not a big deal.

NB:

..hata Gavana wa BOT aliyeteuliwa na Jpm ni mwanasheria, wakati sheria inaelekeza Gavana wa BOT anapaswa kuwa mtaalamu wa uchumi ama fedha.
Jokakuu Sheria imeweka Gavana anaweza kuwa mwanasheria.
Kasome vizuri the Bank of Tanzania Act kifungu cha 8 (2) (b)
 
Wewe ni mpumbavu kweli, Halafu unaita watu vilaza.
Soma ulichokiandika hapo halafu rejea hao uliowataja hapo ni kipindi gani walikuwa mabalozi na ni kipindi gani walikuwa na majukumu mengine ya kitaifa.

Huu ubalozi wa Bashiru hauna unafanano wowote na hao uliowataja.

Kijazi, Sefue, Mahiga wote washaiwakilisha Tanzania kweli balozi tofauti.. Huyu Bashiru ni nchi gani ataiwakilisha kama balozi na wakati huo huo ni CS?
So unadhani Rais ni mpumbavu kumpa Bashiru hicho cheo cha ubalozi mara tu ya kumteua kuwa CS? Huhisi kwamba kuna sababu yenye mashiko? Mpumbavu mwenyewe
 
Yes, civil is government na moja ya majukumu ya civil servants ni kudhibiti public servant kuhakikisha wanafanya kazi kwa kuzingatia kanuni na sheria. Wakati public servant wana wajibu wa kutekeleza majukumu yao kwa kuzingatia taaluma zao.
Civil service vs public service I got you right.
 
Back
Top Bottom