Pongezi kubwa kwa mheshimiwa Rais. | Page 2 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pongezi kubwa kwa mheshimiwa Rais.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Goodhope12, May 19, 2017.

 1. G

  Goodhope12 Member

  #1
  May 19, 2017
  Joined: May 15, 2017
  Messages: 24
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 5
  Mh; Raisi napenda kutoa pongezi nyingi kwako , kwa kurejesha nidhamu ya kazi , kuboresha elimu , huduma za afya na kuendelea kuimalisha uchumi wa Tanzania.
  Hongera sana raisi wetu vijana wengi tuko nyuma yako tunakusuport na wala hatuta kuangusha katika harakati za kuikomboa Tanzania kiuchumi, kijamii na kisiasa.
  Nimefurahishwa sana na haya yafuatayo:
  -Ununuzi wa ndege
  -Ukarabati na maboresho ya barabara
  -Sakata la vyeti feki
  -Elimu bure
  Na mengine mengi kama ulivyo tangaza kuwa unatarajia kutoa ajira 52000 mwezi wa saba hakika sisi vijana tunakupenda sana raisi wetu Mungu akujalie afya bora na miaka mingi ya kuishi hapa duniani.
   
 2. yoga

  yoga JF-Expert Member

  #21
  May 19, 2017
  Joined: Jan 6, 2013
  Messages: 1,247
  Likes Received: 1,981
  Trophy Points: 280
  Ili bando ungeaandika unatafuta ajira ungekuwa wa maana sana,

  kuna halmashuri hapa watu wanakwenda kukagua miradi siku mbili wanalipana laki 2 mbili yaani laki 4 kwa 2 days afu ni halmashauri mpya IPO mwanza.

  mgejua hakuna kipindi watu wanakula hela kimya kimya kama hiki msingeongea!!! Kila siku nivikao na posho tu, bakini gizani tu
   
 3. Mtoto halali na hela

  Mtoto halali na hela JF-Expert Member

  #22
  May 19, 2017
  Joined: Aug 10, 2012
  Messages: 19,457
  Likes Received: 3,059
  Trophy Points: 280
  Pongezi zimfikie popote alipo
   
 4. Mkaruka

  Mkaruka JF-Expert Member

  #23
  May 19, 2017
  Joined: Feb 5, 2013
  Messages: 9,229
  Likes Received: 5,992
  Trophy Points: 280
  Kama naiona MIPOVU ya bavicha hapa
   
 5. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #24
  May 20, 2017
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,647
  Likes Received: 3,506
  Trophy Points: 280
  Wewe kwenu mnatumia usafiri wa meli?
   
 6. swahiba92

  swahiba92 JF-Expert Member

  #25
  May 20, 2017
  Joined: Nov 12, 2016
  Messages: 1,665
  Likes Received: 1,689
  Trophy Points: 280
  kutumbua watu kwa kukurupuka kisha wanapoenda mahakamani wanaonekana hawakuwa na hatia kisha selikali kuwalipa mamilioni ya sh, kukusanya mapato mengi na Maisha kiuhalisia mtaani ni magumu, kuondoa Uhuru wa watu kutoa maoni yao na kukosoa, muhimili mmoja kuingilia mihimili mingine, kuvunjwa katiba hadharani kwa maamuz ya kipuuzi ya MTU mmoja, Zanzibar kuendelea kuwa koloni LA Tanganyika tena kwa nguvu nyingi na Silaha nyingi za kivita kuhamishiwa Kambi za Zanzibar, kuongezeka kwa kodi kila kona na kupelekea MTU kulipa kodi zaidi ya6 kwa bisshara1, Uteuzi wa nafas selikalini bila kuzingatia Usawa wa maeneo ya nchi mfano 70% ya waajiliwa selikalini na waliobakishwa wanatoka ukanda mmoja na kutozingatia usawa wa kijinsia Idadi ya nafas za Wanawake ktk Nafas mhimu imendelea kupungua, rasilimali za nchi kugawanya kwa upendeleo kana kwamba nchi imekuwa ya kanda moja, Kujenga uwanja wa ndege mkubwa Chato huku makao makuu ya mkoa hayana airport ukiondoa kale kauwanja kavumbi ka mgodi kalikopo pale karibu na kijiji cha Bugulula,Chato kuwekewa taa za barabarani huku makao makuu ya mkoa Geita mjini Kukiwa Hakuna taa hata 1, Mkulu kuwa na urafiki wa mashaka na nchi zisizozingatia Democracy je!! Ni taa ya kijani kuelekea kuwa nchi inayoongozwa kidicteta???,MKUU kutokuwa na kauli za kujenga na kuwapa matumaini anaowaongoza zaidi ya kauli za kibabe, upuuzi na kejeli. Je! Hayo na mengine yote ni pongezi kwa selikali hii ya YOHANA???
   
 7. swahiba92

  swahiba92 JF-Expert Member

  #26
  May 20, 2017
  Joined: Nov 12, 2016
  Messages: 1,665
  Likes Received: 1,689
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 8. ISIS

  ISIS JF-Expert Member

  #27
  May 20, 2017
  Joined: Apr 20, 2016
  Messages: 71,675
  Likes Received: 544,534
  Trophy Points: 280
  Kwa kweli! Na wewe pia ubarikiwe maana umeona mbali na umeamini!
   
 9. wiseboy.

  wiseboy. JF-Expert Member

  #28
  May 20, 2017
  Joined: Aug 11, 2014
  Messages: 3,182
  Likes Received: 2,605
  Trophy Points: 280
  Mleta mada ametoroka milembe, walinzi waje huku wamkamate, kwanza ni New ID na post yake ya kwanza, vichaa wamekuwa wengi sana hii nchi.
  How can you hail Lucifer?
   
 10. kiogwe

  kiogwe JF-Expert Member

  #29
  May 20, 2017
  Joined: Oct 24, 2012
  Messages: 3,260
  Likes Received: 3,784
  Trophy Points: 280
  Hizi nafasi za ukuu wa mkoa na wilaya uyui vitafanya muwe vichaa hata mkiambiwa muwatukane wazazi wenu mtawatukana
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...