Pongezi Jeshi la Polisi. Japo Nabii hakubaliki nyumbani, Jeshi sasa ni Sikivu, Most friendly na very hospitable

Hapa nafanya tuu rejea ya pongezi kwa polisi wetu.

Tusichafue jeshi letu safi kwa tukio moja la bahati mbaya. Ile risasi ililengwa juu, lakini ikapinda na kwenye dala dala na kusababisha maafa yaliyotokea kwa bahati mbaya tuu.

Tena natoa ombi, tusiishie kumwadhibu aliyefyatua tuu, kwa sababu hicho kilichofanyika ni kitendo tuu na sio chanzo, tudeal na chanzo na kisababishi.

Paskali
 
Hawawezi kuniangalia na wala kutoka hadharani na kukiri kutenda kinyume . Jeshi letu la police likiondoa ukereketwa ni jeshi zuri, tatizo ni double standard kwa sababu za ukereketwa
 
Back
Top Bottom