Pongezi Jeshi la Polisi. Japo Nabii hakubaliki nyumbani, Jeshi sasa ni Sikivu, Most friendly na very hospitable

Hivi kwenye jeshi letu pendwa la polisi, hamna waashi?, maana kwa wakati huu wangekuwa wanarekebisha zile *Expansion slots* wakati tukisubiri makachero warudi kutoka Nairobi
 
Neno TUMESIKIA nalitafakari, mi nitegemea neno Tofauti na hilo. Polisi wamesikia wapi kuwa Lissu yupo tayari kuhojiwa mi nilitegemea kuwa WAMEAMBIWA na sio kusikia
 
Nina swali moja kwako mleta uzi , kwanini umeleta habari za polisi kwenye jukwaa la siasa , kwamba hujui utaratibu wa jf au umejitoa ufahamu tu ?

Swali lingine ni kwa Moderator , je Pascal Mayala anaruhusiwa kuweka chochote kwenye jukwaa la siasa , hata kama ni masuala ya mapenzi yake kwa yoyote likiwemo jeshi la polisi ?
 
pascal nikikuambia una njaa unakuja juu unadai tuheshimiane..!!

Acha ujinga mkuu, ukitaka kuwapongeza nenda Central huko usituchafulie Jukwaa bure hapa.

Mtu anatoa taarifa juu ya Nyufa ambapo humo wanaishi wanafunzi wenye roho kama wewe halafu anatiwa nguvuni, eti unasema tuwasifie na kuwapongeza hao polisi?

Naishia hapa....
Pascali ni mnafiki underground.
Ukisoma kichwa kichwa post zake utaishia kutokumwelewa.

Rudia kusoma tena
 
Unazungumzia hawa polisi waliotuvamia mimi na kaka yangu SAA sita usiku pale ukonga Mombasa na kutupiga kutupora vitu vyetu au unazungumzia police hawa walionikamata nikiendesha gari na leseni ninayo wakikataa kuwa umri wangu sio wa kumiliki leseni???Wewe paskal bado hayakukuta mkuu police ni waonevu sana binafsi nikimkuta police amegongwa na gari namwagia petrol nampiga moto
Msome tena utamuelewa
 
Back
Top Bottom