pongezi habari leo kwa hili

engmtolera

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
5,150
1,437
Wana Jf,nimevutiwa sana na ile habari iliyopo ktk gazeti la habari leo la tarehe 30/03/2011,inayohusu (Uozo huu si wa kufumbia macho),kwani ni mala chache sana kukuta gazeti hili likitowa habari za kuonyesha maovu ya serikali zaidi husimama ktk upande wa siasa zaidi na hufanya kazi ya kupambana na baadhi ya vyama vya siasa

kwa hili sina budi kuwapongeza kwani kinacho tumika na kuibwa ni kodi za wanachi ambao hata wazazi,ndugu na jamaa wa waandishi wa habari leo wamo ndani,Tuzidi kupigania lile jema ili tuweze kutoka hapa tulipo na kupiga hatua moja ama hata mbili mbele
nakupongeza wewe mwandishi kwani hizi ni dalili tosha kuwa nanyi mmechoshwa na mambo yanayoyofanyika kila siku iendayo kwa mungu,kazeni buti kwani

tusipofanya sisi nani atatufanyia?
03_11_n2w609.jpg
 
Back
Top Bottom