Pongezi Dkt. Magufuli kutenganisha shughuli za Chama na Serikali, Utabarikiwa na Tanzania itabarikiwa!

Paskli level uliyofika umewazidi mwigulu na yule mkata viuno.
Wewe unastaili upewe hata uwaziri wa Zanzibar.
But usisahau vikao vya chama vilikuwa vinafanyika ikulu.
 
Wanabodi, hili la kutenganisha shughuli za chama na serikali, pia nimelishuhudia leo, msafara wa rais Magufuli kuchukua fomu za kugombea urais pale NEC, imetumia magari ya CCM, hongera sana kwa rais Magufuli kuendelea kutenganisha shughuli za kiserikali na za kichama. Zile za kichama anatumia party resources.

Enzi zile nikiwa reporter, nilikuwa nikishuhudia magari yale yale ya umma yanafungwa private numbers, madereva wale wale, lakini sasa magari haya ni ya CCM kiukweli kabisa.

P
 
Akili
Wanabodi,

Bandiko hili ni kufuatia hoja ya mwana jf huyu.

Mkuu Yohane Mbatizaji, kwanza asante kwa bandiko hili.
Mimi ni miongoni mwa tuliyemuona live kupitia TBC rais Magufuli akichukua fomu ya kugombea urais kupitia CCM katika ofisi Kuu ya CCM Makao Makuu Dodoma leo asubuhi na kuona jinsi alivyoondoka na gari moja la number za kiraia, bila ving'ora wala msafara.

Kwavile sisi binadamu tunatofautiana observation powers, naomba na mimi nichangie nilichokiona kwenye uchukuaji wa fomu huo na kueleza kina maana gani kwa mustakabali mzuri na mwema wa siasa za nchi yetu kuelekea October 2020.
  1. Kwanza ni kule tuu kuonyeshwa live kupitia TBC tukio la rais Magufuli kuchukua fomu, ni kitu kizuri kwa kuonyeshea transparency ya zoezi hili zima. Kuna msemo wa Kiswahili usemao, " nyota njema huonekana asubuhi" huku kuonyeshea live toka mwanzo is good for transparency.
  2. Uchaguzi huru na wa haki ni process inayohitaji maximum transparency, kwasababu rigging zote za uchaguzi huwezi kufanyika kutokana na lack of transparency, hivyo hii Transparency ni moja ya mambo muhimu sana yanayoufanya uchaguzi uwe huru na wa haki na matokeo kuwa credible na Kukubalika na wote. Mfano kura zote zinahesabiwa kituoni na matokeo ya kila kituo kubandikwa ubaoni transparently, if there is nothing to hide, kwanini vyama vizuiliwe kufanya independent tallying?!.
  3. Kwa vile TBC ni public broadcasting station yaani TV ya umma, TBC imetimiza wajibu wake wa uhabarishaji umma kikamilifu kwa kututangazia live tukio hili ili umma wa Watanzania tushuhudie kwa kuona kwa macho yetu na kusikia kwa masikio yetu na sio kuambiwa au kuhadithiwa, kuona ni kuamini.
  4. Natoa wito kwa vyama vyote vya siasa vitakavyo simamisha wagombea urais, kutoa ushirikiano kwa TBC ili TBC iwatangazie live Watanzania wagombea wao na kuwapa fursa Watanzania kuwaona wagombea wote wakipewa haki sawa kwenye vyombo vya habari vya umma. Pia vyama vya upinzani jifunzeni kufanya siasa za kistaarabu kwa kushawishi kwa hoja kwa lugha za staha na sio kwa viroja, lugha za maudhi na kutukana
  5. Wito kwa TBC, kwanza hongereni kwa kazi nzuri, mlichokifanya leo ni mwanzo mzuri wa mchakato huu wa urais. Nawaomba mvitendee haki sawa vyama vyote vya siasa, msifanye upendeleo kwa chama kimoja na kuvibagua vingine, hivyo tunategemea kuona live za wagombea urais wa vyama vingine nao wakiwa coved na TBC
  6. Pia nimemnote rais Magufuli akitumia usafiri wa gari lenye number binafsi. This is very good thing kwasababu rais Magufuli ametenganisha shughuli za chama na shughuli za serikali. Rais Magufuli hakutumia gari za serikali, wala hakutembea na msafara na ving'ora, ikiwemo battalion, rais Magufuli ametumia gari moja tuu yenye number za kiraia. Hatutarajii kuendelea kuona vikao vya chama vikifanyikia Ikulu yetu!. Hongera sana rais Magufuli, kwa hili utabarikiwa na Tanzania itabarikiwa sana kwasababu Mungu ni mtenda haki na anapenda kuona sio tuu haki itendeke bali haki itendeke na kuonekana imetendeka. Huwabariki sana watenda haki na huwalaani watenda maovu na kuwaadhibu wasio tenda haki!.
  7. Hatua hii ni hatua yenye essence kubwa sana kwenye mustakabali wa usawa wa kidemokrasia na usawa wa uwanja wa mapambano kujenga uwanja sawa, the level playing field, hivyo ni hatua muhimu kuifuta ile dhana ya kugombea urais Tanzania kufananishwa na kugombea kisu cha makali kuwili huku mgombea mmoja ameshika mpini na kuwashikisha wapinzani wake upande wa makali kuwili
  8. Wito kwa Tume yetu ya Taifa ya Uchaguzi, NEC, kwenye wagombea urais, nawaombeni mfuate mfumo wa nchi za Nordic na Scandinavian countries ambapo wagombea wote wa urais wanakuwa treated equally and the same. Kama kuna mgombea ana privileges za incumbent president, ikiwemo ving'ora, media, hizo privileges zote zinakuwa scraped down isipokuwa ulinzi, then wagombea wote wanapewa ulinzi. Kama kuna mgombea ana msafara wakiwemo state media, then wagombea wote wanapewa misafara, ulinzi, media na logistical support ili wote wafananie, na sio mgombea mmoja ndio anatumia state logistics kwa state cars kufungwa private number, kwasababu ni rais na wengine wote wapambane na hali zao.
  9. Kuwatendea haki sawa wagombea wote wa urais wa vyama vyote kutapelekea taifa letu kubarikiwa na kupata neema, baraka na ustawi.
  10. Kukipendelea chama kimoja au mgombea mmoja na kutowandea haki sawa wagombea wote wa vyama vyote kutapelekea Taifa kuchapwa na bakora za karma ya upendeleo na kutotenda haki kwa wote.
Nawatakia Jumatano Njema.

Paskali

Akili zinaanza kurudi dishi Linaanza kudaka chaneli.
 
Ung
Wanabodi, hili la kutenganisha shughuli za chama na serikali, pia nimelishuhudia leo, msafara wa rais Magufuli kuchukua fomu za kugombea urais pale NEC, imetumia magari ya CCM, hongera sana kwa rais Magufuli kuendelea kutenganisha shughuli za kiserikali na za kichama. Zile za kichama anatumia party resources.

Enzi zile nikiwa reporter, nilikuwa nikishuhudia magari yale yale ya umma yanafungwa private numbers, madereva wale wale, lakini sasa magari haya ni ya CCM kiukweli kabisa.

P
Ungechaguliwa Ubunge ungeandika haya?
 
Jambo zuri kabisa kama umejihakikishia kuwa hayo magari yote ni mali halali ya CCM , leo nimekutana na gari moja la kijani kama hayo ila lina namba SU , nikajaisemea mwenyewe isije ikawa ndugu zetu hawa wenye akili nyingi wamenunua hizi gari za rangi hizi na kijani kwa matumizi ya Serikali lakini baadae wapige tikitaka kuyatumia kwenye chama kwa mtego wa rangi.
 
Wanabodi, hili la kutenganisha shughuli za chama na serikali, pia nimelishuhudia leo, msafara wa rais Magufuli kuchukua fomu za kugombea urais pale NEC, imetumia magari ya CCM, hongera sana kwa rais Magufuli kuendelea kutenganisha shughuli za kiserikali na za kichama. Zile za kichama anatumia party resources.

Enzi zile nikiwa reporter, nilikuwa nikishuhudia magari yale yale ya umma yanafungwa private numbers, madereva wale wale, lakini sasa magari haya ni ya CCM kiukweli kabisa.

P
Umeiona V8 zile si mchezo Kweli Tanzania tuko vizuri

Ova
 
Wanabodi, hili la kutenganisha shughuli za chama na serikali, pia nimelishuhudia leo, msafara wa rais Magufuli kuchukua fomu za kugombea urais pale NEC, imetumia magari ya CCM, hongera sana kwa rais Magufuli kuendelea kutenganisha shughuli za kiserikali na za kichama. Zile za kichama anatumia party resources.

Enzi zile nikiwa reporter, nilikuwa nikishuhudia magari yale yale ya umma yanafungwa private numbers, madereva wale wale, lakini sasa magari haya ni ya CCM kiukweli kabisa.

P
Kwa sababu ya Rangi!?
 
Duhh ! Wewe unaamini Magu alitoa ushirikiano kwa TBC ndipo wakarusha tukio lake ?
Mbona unaamua kujitoa ufahamu makusudi tu ili uwapambe wakuu?

TBC ina jukumu la kurusha matukio ya vyama vyote ila daily wakitoa ya magu utaona ni sgr , bandari ,ndege (vyote kusifia utawala huu kwa mwembwe za kiwango cha juu utadhani Tz imegeuka America)

Haki unayoizungumza wakati haipo unakosea
 
Wanabodi, hili la kutenganisha shughuli za chama na serikali, pia nimelishuhudia leo, msafara wa rais Magufuli kuchukua fomu za kugombea urais pale NEC, imetumia magari ya CCM, hongera sana kwa rais Magufuli kuendelea kutenganisha shughuli za kiserikali na za kichama. Zile za kichama anatumia party resources.

Enzi zile nikiwa reporter, nilikuwa nikishuhudia magari yale yale ya umma yanafungwa private numbers, madereva wale wale, lakini sasa magari haya ni ya CCM kiukweli kabisa.

P
Vipi Ikulu kutumika kutangaza kuchukua fomu kwa mgombea?
 
Wanabodi,

Bandiko hili ni kufuatia hoja ya mwana jf huyu.

Mkuu Yohane Mbatizaji, kwanza asante kwa bandiko hili.
Mimi ni miongoni mwa tuliyemuona live kupitia TBC rais Magufuli akichukua fomu ya kugombea urais kupitia CCM katika ofisi Kuu ya CCM Makao Makuu Dodoma leo asubuhi na kuona jinsi alivyoondoka na gari moja la number za kiraia, bila ving'ora wala msafara.

Kwavile sisi binadamu tunatofautiana observation powers, naomba na mimi nichangie nilichokiona kwenye uchukuaji wa fomu huo na kueleza kina maana gani kwa mustakabali mzuri na mwema wa siasa za nchi yetu kuelekea October 2020.
  1. Kwanza ni kule tuu kuonyeshwa live kupitia TBC tukio la rais Magufuli kuchukua fomu, ni kitu kizuri kwa kuonyeshea transparency ya zoezi hili zima. Kuna msemo wa Kiswahili usemao, " nyota njema huonekana asubuhi" huku kuonyeshea live toka mwanzo is good for transparency.
  2. Uchaguzi huru na wa haki ni process inayohitaji maximum transparency, kwasababu rigging zote za uchaguzi huwezi kufanyika kutokana na lack of transparency, hivyo hii Transparency ni moja ya mambo muhimu sana yanayoufanya uchaguzi uwe huru na wa haki na matokeo kuwa credible na Kukubalika na wote. Mfano kura zote zinahesabiwa kituoni na matokeo ya kila kituo kubandikwa ubaoni transparently, if there is nothing to hide, kwanini vyama vizuiliwe kufanya independent tallying?!.
  3. Kwa vile TBC ni public broadcasting station yaani TV ya umma, TBC imetimiza wajibu wake wa uhabarishaji umma kikamilifu kwa kututangazia live tukio hili ili umma wa Watanzania tushuhudie kwa kuona kwa macho yetu na kusikia kwa masikio yetu na sio kuambiwa au kuhadithiwa, kuona ni kuamini.
  4. Natoa wito kwa vyama vyote vya siasa vitakavyo simamisha wagombea urais, kutoa ushirikiano kwa TBC ili TBC iwatangazie live Watanzania wagombea wao na kuwapa fursa Watanzania kuwaona wagombea wote wakipewa haki sawa kwenye vyombo vya habari vya umma. Pia vyama vya upinzani jifunzeni kufanya siasa za kistaarabu kwa kushawishi kwa hoja kwa lugha za staha na sio kwa viroja, lugha za maudhi na kutukana
  5. Wito kwa TBC, kwanza hongereni kwa kazi nzuri, mlichokifanya leo ni mwanzo mzuri wa mchakato huu wa urais. Nawaomba mvitendee haki sawa vyama vyote vya siasa, msifanye upendeleo kwa chama kimoja na kuvibagua vingine, hivyo tunategemea kuona live za wagombea urais wa vyama vingine nao wakiwa covered na TBC
  6. Pia nimemnote rais Magufuli akitumia usafiri wa gari lenye number binafsi. This is very good thing kwasababu rais Magufuli ametenganisha shughuli za chama na shughuli za serikali. Rais Magufuli hakutumia gari za serikali, wala hakutembea na msafara na ving'ora, ikiwemo battalion, rais Magufuli ametumia gari moja tuu yenye number za kiraia. Hatutarajii kuendelea kuona vikao vya chama vikifanyikia Ikulu yetu!. Hongera sana rais Magufuli, kwa hili utabarikiwa na Tanzania itabarikiwa sana kwasababu Mungu ni mtenda haki na anapenda kuona sio tuu haki itendeke bali haki itendeke na kuonekana imetendeka. Huwabariki sana watenda haki na huwalaani watenda maovu na kuwaadhibu wasio tenda haki!.
  7. Hatua hii ni hatua yenye essence kubwa sana kwenye mustakabali wa usawa wa kidemokrasia na usawa wa uwanja wa mapambano kujenga uwanja sawa, the level playing field, hivyo ni hatua muhimu kuifuta ile dhana ya kugombea urais Tanzania kufananishwa na kugombea kisu cha makali kuwili huku mgombea mmoja ameshika mpini na kuwashikisha wapinzani wake upande wa makali kuwili
  8. Wito kwa Tume yetu ya Taifa ya Uchaguzi, NEC, kwenye wagombea urais, nawaombeni mfuate mfumo wa nchi za Nordic na Scandinavian countries ambapo wagombea wote wa urais wanakuwa treated equally and the same. Kama kuna mgombea ana privileges za incumbent president, ikiwemo ving'ora, media, hizo privileges zote zinakuwa scraped down isipokuwa ulinzi, then wagombea wote wanapewa ulinzi. Kama kuna mgombea ana msafara wakiwemo state media, then wagombea wote wanapewa misafara, ulinzi, media na logistical support ili wote wafananie, na sio mgombea mmoja ndio anatumia state logistics kwa state cars kufungwa private number, kwasababu ni rais na wengine wote wapambane na hali zao.
  9. Kuwatendea haki sawa wagombea wote wa urais wa vyama vyote kutapelekea taifa letu kubarikiwa na kupata neema, baraka na ustawi.
  10. Kukipendelea chama kimoja au mgombea mmoja na kutowandea haki sawa wagombea wote wa vyama vyote kutapelekea Taifa kuchapwa na bakora za karma ya upendeleo na kutotenda haki kwa wote.
Nawatakia Jumatano Njema.

Paskali

Swali moja rahisi sana kwako Paskali. CHADEMA ikifa, Watanzania na taifa kwa ujumla tutapata hasara gani? Unaamini NI LAZIMA CHADEMA iendelee kuwepo (exist)?

Maelezo yote hayo marefu sana uliyotoa na ambayo umekuwa ukiyatoa zaidi ya mwaka kuhusu CHADEMA, yanadhihirisha kuwa kwa mazingira ya kisiasa tuliyo nayo Tanzania, HAIWEZEKANI tuwe na mfumo wa demokrasia ya vyama vingi vya siasa nchini ambao ni BONA FIDE GENUINE.

Halafu, VERY CURIOUSLY, siioni juhudi yako ya dhati kuwaasa wenye dhamana ya kutengeneza mazingira sahihi ya demokrasia ya vyama vingi Tanzania ili kuwezesha vyama kama CHADEMA kuwepo na kufanya shughuli zake kwa ufanisi. Hapo ungeeleweka badala ya kupania kwa makala kadhaa zilizojaa jazba nyingi kutaka CHADEMA IWEPO na ikubaliane na dola tu hata katika mazingira hatarishi kiasi gani!

WHAT’S YOUR REAL MOTIVE?
Mkuu Drifter, kwanza asante kwa mchango wako, very objective, kiukweli tangu nimepandisha uzi huu, wewe ndio mtu wa kwanza kunielewa, kwasababu, kiukweli kabisa, hii jf ya sasa, tuna watu wachache sana, wenye kuweza kusoma bandiko na kisha kujiuliza what is the motive behind.

Chama cha Mapinduzi ni chama cha ukweli na haki, kiliasisiwa na Mwalimu Nyerere, mpenda haki na mtenda haki. Baada ya Mwalimu, CCM ilipitia mageuzi na kuishiwa kuhodhiwa na wenye fedha, hivyo kuzalisha kada kubwa ya makada wa CCM ambao ni makada maslahi, na kwenye uchaguzi, wanakuwa wako tayari kutumia mbinu zozote kushinda uchaguzi. JPM alipoingia, amekuja kuibadili CCM kuirudisha ile CCM ya Nyerere. Sasa ndani ya makada wa CCM, kuna makada wa aina mbili, kuna "CCM Die Hard", hawa ndio wanaotaka kuhakikisha CCM inaupondaponda upinzani na kushinda kwa asilimia 99.9% kwa kutumia mbinu zozote.

Tupo sisi makada "Modern CCM" ambao kutokana na good track ya kazi nzuri ya JPM, CCM innashinda kwa mshindi mzuri safi na clear victory, kushinda kwa haki bila kufanya figisu figisu zozote.

Kwa vile Bunge letu ni Bunge la vyama vingi, mimi naamini kuna baadhi ya wana CCM very genuine, hakupenda kuona baadhi ya wapinzani wakishindwa akiwemo mtu kama Zitto!. Lakini kutokana na wapinzani kukataliwa na wananchi, ili Bunge lichangamke, zile kamati 2 za oversight committee, PAC na LAAC, lazima ziongozwe na wabunge wa upinzania ambao ni vichwa vya ukweli, kwenye hao wabunge wote sijaona watu wa kalibre hiyo ndio maana kila siku, tunamuomba Mwenyekiti wetu, JPM, katika zile nafasi zake 10, awateua wapinzani 4, Zitto, JJ Mnyika, Mbatia na kale kabinti Queen Sendiga.

Ili CCM itawale vizuri inahitaji Upinzani makini, ndio maana kila uchao, naibalasa Chadema humu na ACT Zanzibar, waache ujinga wa kususa. Ili kusasa kwa akili ni kususa kama kwa kususa huko utaachieve something, lakini kususa tuu for the sake of kususa, huku you won't achieve anything huu ni ujinga!.

Karibu tena.

Mkuu Pascal Namba Moja asipokuona awamu hii kwa kweli nitashangaa sana!
 
Wanabodi,
mmoja na kutowandea haki sawa wagombea wote wa vyama vyote kutapelekea Taifa kuchapwa na bakora za karma ya upendeleo na kutotenda haki kwa wote. Na viongozi wahusika kupata bakora za karma, individuals.
Nawatakia Jumatano Njema.

Paskali
Wanabodi, mimi ni miongoni mwa wana jf, tuliandika mengi kumhusu rais wetu, Dr. John Pombe Joseph Magufuli, hivyo kipindi hiki cha maombolezo, napitia baadhi ya mabandiko kwa ajili ya kumuaga rasmi.

Katika bandiko hili la mwezi April, 2016, kuna mstari nilizungumzia kitu kinachoitwa karma ya watumbuliwa ambao hawakutumbuliwa kwa haki.

Japo umetangulia, lakini kauli zako, maono yako na kile ulichokiamini, kitabaki na sisi Milele.
Sisi tulikupenda, lakini Mungu amekupenda zaidi.
Bwana Alitoa, Bwana Ametwaa, Jina Lake Lihimidiwe!.
Raha ya Milele Umpe Ee Bwana, na Mwanga wa Milele, Umuangazie, Apumzike kwa Amani...Amina x3.
RIP Dr. John Pombe Joseph Magufuli
Buriani ya kuonana...
Paskali
 
Back
Top Bottom