Pongezi Bodi ya nyama kwa kutokuwa na watumishi hewa wengi

Andrew123

JF-Expert Member
Jun 2, 2012
8,281
10,794
Nichukue fursa hii kuwapongeza BODI YA NYAMA kwa kutokuwa na wafanyakazi hewa wengi ukilinganisha na BODI nyingine kama ya KAHAWA, CHAI, MAKTABA, MISHAHARA, WAKANDARASI, HIFADHI YA BAHARI, HIFADHI YA MAZINGIRA. Muendelee na moyo huo huo.
 
hamna kitu Kama hicho. Kila kitu Kiko under komune ama municipality ambayo inasimama kila kitu katika Hilo eneo. Bongo ndio halmashauri. Hela ya municipality haipotei hata senti
Sasa Mkuu una kadi ya uanachama urudi utusaidie japo wizara mojawapo? Utupe uzoefu uliopata huko Denmark
 
Back
Top Bottom