Pompeo akutana na waziri wa mambo ya nje wa Urusi. Nini hatma ya ushirikiano mpya baana ya USA na Urusi?

Bikis

Member
Feb 23, 2019
52
74
Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Urusi, Sergei Lavrov amemwambia waziri mwenzake wa Marekani Mike Pompeo, "wakati umewadia kwa Moscow na Washington kuweka kando miaka kadhaa ya uhasama na kubuni njia ya kushirikiana".
Mike Pompeo yuko ziarani katika mji unaopakana na bahari nyeusi wa Sochi kwa mazungumzo pamoja na waziri mwenzake wa Urusi na baadae amepangiwa pia kukutana na rais Vladimir Putin.
Uhusiano kati ya nchi hizo mbili umeingia sumu kutokana na madai-yaliyokanushwa na Moscow-kwamba Urusi imejaribu kushawishi matokeo ya uchaguzi wa rais wa mwaka 2016, na pia kutokana na tofauti zao za maoni katika mzozo wa Venezuela, Iran, Syria na Ukraine.
"Tunaona kuna shaka na chuki" amesema Lavrov mwanzoni mwa mazungumzo yake pamoja na Pompeo."Hali hii inakorofisha usalama wa nchi yetu na nchi yenu pia na kusababisha wasi wasi ulimwenguni.Tunahisi wakati umewadia wa kubuni uhusiano mpya wenye manaufaa wa zaidi kwa pande zote" amesisitiza waziri wa mambo ya nchi za nje wa Urusi Lavrov na kuongeza tunanukuu"Tuko tayari ikiwa wenzetu wa Marekani wako tayari pia."
Ziara ya Mike Pompeo ni hatua ya mwanzo ya mazungumzo ya ngazi ya juu kati ya Moscow na Washington tangu mwendesha mashitaka mkuu wa Marekani Robert Muller alipowasilisha ripoti yake iliyotathmini nafasi iliyoshikiliwa na Urusi katika uchaguzi wa rais mwaka 2016 nchini Marekani.
 
Tunaelewa kilichompeleka huyo gaidi huko Moscow ni kubembeleza ili apate kibali cha kuvunja sheria za kimataifa dhidi ya Irani pamoja na Venezuela!
Bahati nzuri serikali ya Urusi inawachora tu ili kupima unafiki wa Marekani kwenye maswala ya mambo ya ndani ya nchi ndogondogo zinazoinuka kijeshi na kiuchumi huku zikiwa hazifungamani na Washington.
Hii ni baada ya kuona serikali za mataifa ya Iran pamoja na Venezuela zimesimama imara kinyume kabisa na mategemeo ya Marekani japo wameweka vikwazo vya kila aina.
Marekani imeshaharibu mno uhusiano wake na mataifa yenye sauti kama yeye ambayo ni China na Russia, kitu ambacho kinaipa wakati mgumu Marekani kufanya inavyotaka kama ilivyozoea hapo kabla
Mbaya zaidi wakati huu mataifa haya makubwa ya kikomunisti yameimarika kiuchumi pamoja na kijeshi huku yakija kwa kasi kwenye maswala ya ushawishi duniani

Korea Kaskazini tusiiongelee maana imeshashindikana mbele ya Marekani tayari!
Tukija kwa Syria ndio kabisa Marekani waliaibika baada ya Urusi kuikingia kifua serikali ya Damascus ikajitwalia ushindi jambo ambalo mpaka sasa USA haijaamini pamoja na kutumia bajeti kubwa.
Kwa Venezuela Marekani imeshapoteza karibu asilimia 80% jambo ambalo halikutegemewa pia, kwa maana tuliona kampeni kubwa duniani iliyoanzishwa na Marekani ya kumuunga mkono na kumtambua kama rais yule mpinzani wa Nicolaus Maduro....mpaka sasa kampeni hiyo imeshakufa kifo cha mende
Marekani wametishia kutumia jeshi dhidi ya utawala wa Venezuela ila mataifa ya kikomunisti wakamwambia dhubutu uone!
Hapo Irani ndio Marekani wanacheza kama hawana akili nzuri
Mkataba waliingia wenyewe ila baada ya muda mfupi wanauvunja wenyewe na kurejesha vikwazo vyote juu ya Irani iliyokuwa ikiutekeleza mkataba kikamilifu.
America wamepeleka melivita kubwa yenye kubeba hadi silaha za nyuklia karibu na Irani ila Irani ikasema hao wanatishia tu, tena mamlaka za Irani zikasema baada ya siku 60 Iran itaanza upya na kwa kiwango kikubwa kabisa kurutubisha na kuendelea kutengeneza silaha za nyuklia.

Mimi natamani Irani ifunge ule mlango bahari wa horms ili tujue mbivu na mbichi! Kumbuka mlango bahari huu wa homs ndio hupitishwa karibu mafuta yote yanayotumiwa duniani.
Iran ilisema itafunga njia hiyo ya bahari inayotumika kupitisha meli nyingi za mafuta kupeleka maeneo mbalimbali ya dunia ndipo tukaona meli kadhaa za kijeshi za Marekani zikielekea karibu na eneo hilo

Tunachokiona hapa Marekani ya sasa sio ile ya zamani! Kuna watoto wadogo wamekua na wana uwezo wa kukoroma na wakasikika
Ndio, wanasikika maana wanao baba zao wanaowapa kiburi
Kim wa Korea Kaskazini juzi tu katoka Urusi na baada ya kufika home kwake akaanza kulipua mabomu yake kama kawaida na hatujasikia tena zile mbwembwe za Marekani kwenda kufanya luteka ya kijeshi kwenye rasi ya Korea wala kelele zile za miaka ile

Ni ukweli mchungu kwamba mataifa ya kikomunisti yameimarika kiuchumi na kijeshi ndio maana hatuoni yale maamuzi ya taifa la Marekani kuvamia nchi zingine kwa visingizio vya kijinga

Huyo kaenda hapo Moscow kuomba walau warushe bomu moja la uchokozi pale Tehran ili kupima upepo maana wakiingia kichwa kichwa watapata hasara ambayo hawajawahi kuipata, na tena mtoto wao Israel atakuwa hatarini endapo walilianzisha kweli.
Irani ina uchungu na Israel kuliko ilivyo na uchungu na Marekani
Iran inaamini adui wake namba moja ni taifa la Israel huku ikifuatiwa na Saudi Arabia

Vita hivi vikilipuka mabomu yote yataelekezwa Israel na Saudi Arabia ndio maana Marekani akikwaruzana na Irani kwa kiwango kikubwa lazima umsikie akisema "naenda kuwalinda washirika wangu"
Kwa sasa njia za kijeshi hazifai tena kutumika dhidi ya Irani maana madhara yake yatakuwa makubwa mno
 
Umeongea ukweli mtupu lkn USA bado ni super power so Iran ni swala la muda tu
 
Daahh wana hali mbaya sana haha .... Russia oyeee
 
Warusi wanatamani sana kuwa rafiki na Marekani, ila ndio ivyo tena, Wamarekani hawataki (for Military purposes)...
America needs to have strong enemies such as Russia to validate huge military expenditures...
 
Mchambuzi umeharibu kwa ushabiki mwingi wa kitoto na usio na maana kama vile Pompeo alikuaga wakati anaenda Russia. Na kulingana na andiko lako tunaona Russia wakililia kuboresha mahusiano na Marekani.

Iran hana ubavu wa kufunga Strait of Hormuz ambako ndiko yanakopita asilimia 35 ya mafuta yanayouzwa nje kutoka ghuba, na akithubutu tu inaweza ikawa ndio mwisho wa ma-hayatollah.

Nchi kama China, Iran, North Korea nk zinapoona zimekuwa ki-uchumi na ki-teknolojia pia zinaelewa vile vile kuwa kwa nchi kama Marekani itakuwa imekua kwa kiwango gani zikilinganisha na wao ndio maana wanameza tu pini.
 
Daahh wana hali mbaya sana haha .... Russia oyeee
Hivi Irani bado wanauza mafuta? Maana nilisikia US anasema anataka amstopishe uuzaji hadi zero. Iran atumie akili zake,akitegemea Urusi hawezi saidika. Nimemsikia waziri wake wa nje akisema uchumi umekuwa mbaya kuliko enzi za vita yao na Iraqi.
 
Hiyo Sapoti akaitafutie Ulaya tuu hilo sio kwa KGB Putin. Maana Spanish kishaona maji yamemzidi kimo kaamua kurudi Nyumbani kusakata kabumbu...
Uhispania sio chochote kijeshi kumbuka afrika kusini inamzidi Spain kiuchumi na kijeshi
 
WW MWNYEWE COMMENT YAKO UMEIHARIBU KWA USHABIKI MWINGI WA KITOTO NA USIO NA MAANA
Mchambuzi umeharibu kwa ushabiki mwingi wa kitoto na usio na maana kama vile Pompeo alikuaga wakati anaenda Russia. Na kulingana na andiko lako tunaona Russia wakililia kuboresha mahusiano na Marekani.

Iran hana ubavu wa kufunga Strait of Hormuz ambako ndiko yanakopita asilimia 35 ya mafuta yanayouzwa nje kutoka ghuba, na akithubutu tu inaweza ikawa ndio mwisho wa ma-hayatollah.

Nchi kama China, Iran, North Korea nk zinapoona zimekuwa ki-uchumi na ki-teknolojia pia zinaelewa vile vile kuwa kwa nchi kama Marekani itakuwa imekua kwa kiwango gani zikilinganisha na wao ndio maana wanameza tu pini.
 
Uhispania sio chochote kijeshi kumbuka afrika kusini inamzidi Spain kiuchumi na kijeshi
Wewe boya kweli yaani unailinganisha Uhisipania na taifa kama s.Africa,ngoja nikuelimishe uchumii wa Uhispania ni zaidi ya trion$1.5 wakati ule wa s.Africa ni bilion$450 tu.
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Unajua SA inatengeneza ndege Vita?
Narudia tena SA has the biggest economy than spain
 
Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Urusi, Sergei Lavrov amemwambia waziri mwenzake wa Marekani Mike Pompeo, "wakati umewadia kwa Moscow na Washington kuweka kando miaka kadhaa ya uhasama na kubuni njia ya kushirikiana".
Mike Pompeo yuko ziarani katika mji unaopakana na bahari nyeusi wa Sochi kwa mazungumzo pamoja na waziri mwenzake wa Urusi na baadae amepangiwa pia kukutana na rais Vladimir Putin.
Uhusiano kati ya nchi hizo mbili umeingia sumu kutokana na madai-yaliyokanushwa na Moscow-kwamba Urusi imejaribu kushawishi matokeo ya uchaguzi wa rais wa mwaka 2016, na pia kutokana na tofauti zao za maoni katika mzozo wa Venezuela, Iran, Syria na Ukraine.
"Tunaona kuna shaka na chuki" amesema Lavrov mwanzoni mwa mazungumzo yake pamoja na Pompeo."Hali hii inakorofisha usalama wa nchi yetu na nchi yenu pia na kusababisha wasi wasi ulimwenguni.Tunahisi wakati umewadia wa kubuni uhusiano mpya wenye manaufaa wa zaidi kwa pande zote" amesisitiza waziri wa mambo ya nchi za nje wa Urusi Lavrov na kuongeza tunanukuu"Tuko tayari ikiwa wenzetu wa Marekani wako tayari pia."
Ziara ya Mike Pompeo ni hatua ya mwanzo ya mazungumzo ya ngazi ya juu kati ya Moscow na Washington tangu mwendesha mashitaka mkuu wa Marekani Robert Muller alipowasilisha ripoti yake iliyotathmini nafasi iliyoshikiliwa na Urusi katika uchaguzi wa rais mwaka 2016 nchini Marekani.
Muiran wa kibiti povu limekutoka loh!
 
Back
Top Bottom