Pombe zetu za asili zilikuwa bab-kubwa kinyama!!!

hasason

JF-Expert Member
Sep 19, 2012
1,648
1,538
Majina ya pombe zetu za asili:

Dengelua – Hii inapatikana kule upareni
Mbege – Hii ina[patikana kule Moshi uchagani
Ulanzi – Kule Iringa
Ulaka – Nasikia inapatikana Morogoro
Boha – sina uhakiaka inapatikana wapi
Kindi – Hii nayo naomba msaada sijui asili yake ni wapi
Wanzuki – Hii ni new technology nasikia ina gesi kushinda hata Bia
Chimpumu – Hii nayo nasikia inapatikana mikoa ya kusini
Tende – Hii inapatikana wisiwa vya karafuuZanziberi
Gongo – Hii ina majina mengi ajabu, Kachaso, la 50, common, zilipendwa,chi-dawa ,uso-paka, machozi ya Simba, Uzo, Chang'aa, na haijulikani asili yake ni wapi
Daddy - hii ni maarufu sana huko arusha

Nyingine mtajazia……………………..
 
Majina ya pombe zetu za asili:

Dengelua – Hii inapatikana kule upareni
Mbege – Hii ina[patikana kule Moshi uchagani
Ulanzi – Kule Iringa
Ulaka – Nasikia inapatikana Morogoro
Boha – sina uhakiaka inapatikana wapi
Kindi – Hii nayo naomba msaada sijui asili yake ni wapi
Wanzuki – Hii ni new technology nasikia ina gesi kushinda hata Bia
Chimpumu – Hii nayo nasikia inapatikana mikoa ya kusini
Tende – Hii inapatikana wisiwa vya karafuuZanziberi
Gongo – Hii ina majina mengi ajabu, Kachaso, la 50, common, zilipendwa,chi-dawa ,uso-paka, machozi ya Simba, Uzo, Chang’aa, na haijulikani asili yake ni wapi
Daddy - hii ni maarufu sana huko arusha

Nyingine mtajazia……………………..

kindi asili yake ni mkoa wa rukwa
 
Ulaka si Morogoro, Ulaka ni pombe inayotokana na mabibo ya korosho, so inapatikana Mtwara, Lindi na Tunduru.
 
Majina ya pombe zetu za asili:

Dengelua – Hii inapatikana kule upareni
Mbege – Hii ina[patikana kule Moshi uchagani
Ulanzi – Kule Iringa
Ulaka – Nasikia inapatikana Morogoro
Boha – sina uhakiaka inapatikana wapi
Kindi – Hii nayo naomba msaada sijui asili yake ni wapi
Wanzuki – Hii ni new technology nasikia ina gesi kushinda hata Bia
Chimpumu – Hii nayo nasikia inapatikana mikoa ya kusini
Tende – Hii inapatikana wisiwa vya karafuuZanziberi
Gongo – Hii ina majina mengi ajabu, Kachaso, la 50, common, zilipendwa,chi-dawa ,uso-paka, machozi ya Simba, Uzo, Chang’aa, na haijulikani asili yake ni wapi
Daddy - hii ni maarufu sana huko arusha

Nyingine mtajazia……………………..

Wanzuki nimeanza kuisikia nikiwa tabora, jina lingine la gongo ni supu ya mawe
 
dah. na huko nako wanatumia au unawatafuta maneno wakusomee albadili!!!!!

Am sure! Ilo jina linatumika KIBOJE, JANG'OMBE, KWARARA & OTHERS IN PEMBA. Obviously gongo available thereat, and commonly known NGUMU KUMEXA. Umenixoma meeen!
 
Komoni sio gongo... Hii ni pombe inayopikwa Kama togwa ila inalala sana atleast sku 4 baada ya hapo ni alcoholi 40%.... Pia kuna msabe hz zote znapatkana maeneo ya Njombe
 
msabe inatengenezwa na ndondoz. Kiboko ya yote ni pyua inayotengenezwa pale Matejoo, molases zikishawekwa basi vingine hutupiwa humo, km used pedi za kike, mbolea, jiki, klorokwini, kitu cha mvuke kikikamilika hupigi nusu glass!
 
Kuna ngotoroki, embinyo, olmaruwa za Wamasai.

Majina mengine ya gongo "kiwawaso" "kisabengo" na "tuition"
 
msabe inatengenezwa na ndondoz. Kiboko ya yote ni pyua inayotengenezwa pale Matejoo, molases zikishawekwa basi vingine hutupiwa humo, km used pedi za kike, mbolea, jiki, klorokwini, kitu cha mvuke kikikamilika hupigi nusu glass!
hee! Hivi mkubwa ni kweli USED PEDI hu2mika pia katika kutengeneza pombe?
 
kangara - kitu ya asali hii mikoa ya kanda ya kati ndo niliiona
choya - hii unakunywa unalewa huku unaongeza damu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom