kasulamkombe
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 2,232
- 2,481
Kuna pombe ambayo ni mchanganyiko wa nyoka, jongoo na mvinyo uliotengenezwa tokana na nafaka kama mchele, mahindi, mtama nk.Angalia picha zake hapa chini.Kitu kimeenda shule!!!
wanaitumia mkuu.kitu ina TBS kabisa! kitu imetulia mpaka raha inabidi kwa Tanzania wachaga wataanza kuzitumia Christmas hiiNadhani kuna Watu wanaitumia
Ukigonga hicho kichupa ukimaliza unavunja Muungano!KUNA KITU BOMBADIER PIA!
View attachment 622952
he he tuna bahati MAGU na CHENI wote hawapigi matungi bila hivyo kachupa kamoja tu jamaa anamwambia mwenzake kila mmoja achukue ime zake.Muungano mwishoUkigonga hicho kichupa ukimaliza unavunja Muungano!
Ssshiii! mi nilifikiri ni pombe ya nyanya na miwa!Kuna pombe ambayo ni mchanganyiko wa nyoka, jongoo na mvinyo uliotengenezwa tokana na nafaka kama mchele, mahindi, mtama nk.Angalia picha zake hapa chini.Kitu kimeenda shule!!!
View attachment 622945
pombe ya ajabu ni ya kinyesi cha binadamuHao sio wa vetnam ama warusi maana ndio vitu vyao
....imeshaanza kuwadhuru watanzania !!Kuna pombe ambayo ni mchanganyiko wa nyoka, jongoo na mvinyo uliotengenezwa tokana na nafaka kama mchele, mahindi, mtama nk.Angalia picha zake hapa chini.Kitu kimeenda shule!!!
View attachment 622945
Nani kakuambia hizo ni pombe wakati ni dawa za uganga wa kienyeji,Kuna pombe ambayo ni mchanganyiko wa nyoka, jongoo na mvinyo uliotengenezwa tokana na nafaka kama mchele, mahindi, mtama nk.Angalia picha zake hapa chini.Kitu kimeenda shule!!!
View attachment 622945
mimi nikafikiri ni ALBADIRI kumbe kuna mvinyo....imeshaanza kuwadhuru watanzania !!
pombe hiyo! ipo Nchi za BENIN na TOGONani kakuambia hizo ni pombe wakati ni dawa za uganga wa kienyeji,
Duuuh haya mkuu wahenga walisema tembea uone.pombe
pombe hiyo! ipo Nchi za BENIN na TOGO
Si uwataje tu mkuuNadhani kuna Watu wanaitumia
muro, manara ,mobeto na mangeSi uwataje tu mkuu