Jorochere
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 994
- 669
Habarini wanajf
Hatimaye tumeiona 2018 kwa kudra za Mwenyez Mungu.
Nimeuanza mwaka kwa kupiga goti na
Kumuomba Mungu aniweke mbali na hawa maadui watatu ...
1Pombe
2Wanawake
3Siasa
Nimeteseka sana kwa muda mrefu kwa minyororo ya hawa maadui.......!
Sasa nasema "enough is enough " nimetosha "life can't be one endless party oh my God help me.....! Give me strength to defeat them....."
Poleni sana ndugu jamaa na marafiki najua pengo langu halitazibika lakini imenibidi kufanya uamuzi mgumu.....!
Jah Guide.........!