Pombe, Siasa na Wanawake Mungu niepushie mbali

Jorochere

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
994
669
Habarini wanajf

Hatimaye tumeiona 2018 kwa kudra za Mwenyez Mungu.

Nimeuanza mwaka kwa kupiga goti na
Kumuomba Mungu aniweke mbali na hawa maadui watatu ...

1:)Pombe

2:)Wanawake

3:)Siasa

Nimeteseka sana kwa muda mrefu kwa minyororo ya hawa maadui.......!

Sasa nasema "enough is enough " nimetosha "life can't be one endless party oh my God help me.....! Give me strength to defeat them....."

Poleni sana ndugu jamaa na marafiki najua pengo langu halitazibika lakini imenibidi kufanya uamuzi mgumu.....!

Jah Guide.........!
 
Pombe na siasa wala huhitaji msaada wa huyo mungu unaemsema(sijui kama yupo).

Ni uamuzi wako tu.

Siasa ni maisha, unaweza kuacha kua active ila ukataka kujua kinachoendelea nchini.

Mimi siko active ila najua yote yanayoendelea bongo kisiasa.

Kwenye wanawake huwezi kuwaepuka completely, at least uwapunguze, kama ulikua unakula makahaba wa bar baada ya kulewa basi achana nao, tafta wanawake wa maana wachache ambao unaweza kuwahudumia.
 
Pombe na wanawake unaweza kuviepuka kwa 100%, lakini siasa hutaweza kuiepuka. Kwanini? Siasa ndio inayokuamulia ule nini, uvae nini, ulale wapi, uishi wapi, uishije, upumzike lini, ufanye kazi gani, usafiri wapi nk.

Hata uwepo wako humu JF ni matokeo ya maamuzi ya kisiasa, ipo siku tena sio siku nyingi huenda hata JF ikafungiwa kabisa kwa amri ya wanasiasa. Kama unabisha za jiulize jambo forum iko wapi?
 
Hyo namba mbili mkuu lazima uendelee nayo unaoneka mtu wa totoz sana
 
Pombe na wanawake unaweza kuviepuka kwa 100%, lakini siasa hutaweza kuiepuka. Kwanini? Siasa ndio inayokuamulia ule nini, uvae nini, ulale wapi, uishi wapi, uishije, upumzike lini, ufanye kazi gani, usafiri wapi nk.

Hata uwepo wako humu JF ni matokeo ya maamuzi ya kisiasa, ipo siku tena sio siku nyingi huenda hata JF ikafungiwa kabisa kwa amri ya wanasiasa. Kama unabisha za jiulize jambo forum iko wapi?

Unajuwa history kuhusu JamiiForum imeanzia wapi na itaishia wapi?
 
Pombe na wanawake unaweza kuviepuka kwa 100%, lakini siasa hutaweza kuiepuka. Kwanini? Siasa ndio inayokuamulia ule nini, uvae nini, ulale wapi, uishi wapi, uishije, upumzike lini, ufanye kazi gani, usafiri wapi nk.

Hata uwepo wako humu JF ni matokeo ya maamuzi ya kisiasa, ipo siku tena sio siku nyingi huenda hata JF ikafungiwa kabisa kwa amri ya wanasiasa. Kama unabisha za jiulize jambo forum iko wapi?
Upo sawa ila nimezungukwa na wanafiki pande zote yani kazini, mtaani hadi ibadani.....! Imekuwa ni kusifia tu.Watu hawataki kuambiwa ukweli.Unajua inauma sana ......!
 
Pombe na siasa wala huhitaji msaada wa huyo mungu unaemsema(sijui kama yupo).

Ni uamuzi wako tu.

Siasa ni maisha, unaweza kuacha kua active ila ukataka kujua kinachoendelea nchini.

Mimi siko active ila najua yote yanayoendelea bongo kisiasa.

Kwenye wanawake huwezi kuwaepuka completely, at least uwapunguze, kama ulikua unakula makahaba wa bar baada ya kulewa basi achana nao, tafta wanawake wa maana wachache ambao unaweza kuwahudumia.
Mkuu kwa sasa naifananisha siasa na bangi imepigwa marufuku kwenye vyombo vya usafir,makanisani ndio kabisa,kazini haturuhusiwi mtaan hivo hivo......! Siasa bila mikutano ya siasa ni kazi bure bora nikae kimya .....
 
Jamaa nimelenda sana user name yake kwa lugha ya ugaibuni "watu weupe". Poa kaka kila la heri, mimi pombe situmii, siasa niko addicted kwa wanawake vyura vinanitesa kwakweli.
hahaaa hapo kwenye vyura tupo wote mkuu
yaani wakipita shingo yangu hugeuka nakuzunguka kama feni La AC
yaani daaahh
ila huko kwenye pombe siijui hata ladha nasitki hata kuijua
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom