Pombe Si chai

"Drinking beer doesn't make you fat; it makes you lean… against bars, tables, chairs, and poles,unfortunately,there was none nearby''
 
Ni shidaaaaaa
Lakini si jambo la ajabu kwa wakenya kunywa pombe kiasi hicho na bahati mbaya ni kwamba pombe wanazokunywa hufikia pahala zikawaletea matatizo mpaka kupoteza uhai maana huwa wanakunywa pombe za hatari sana kama vile gongo za mavi na mataputapu ya kila aina
Ndo nchi za wenzetu tunazosifia kila kukicha ambapo wenzetu ubepari ulianza tokea enzi na enzi na hivyo kusababisha uwepo wa masikini wa kutupwa na uwepo wa matajiri wa kutupwa pia
 
Back
Top Bottom