Pombe ni hatari kwa uchumi

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
POMBE yaani kilevi ni hatari sana kwa ukuaji wa uchumi wako! Kwa mfano unakunywa POMBE ile inayo kaa kwenye CHUPA ya KIJANI, inaitwa castle lite (ya gharama) Utajenga nyumba kwa pesa za kibubu?? Huu ni mfano wa kawaida kabisa.

Yaani acha ile kunywa kwa ofa, yaani unakunywa KWELI KWELI ukimaliza kunywa UNALALA MBELE bila kulipa unaishi kwa madeni na kujificha kama kobe! Ha ha ha ha ha ha

POMBE husababisha watu kufukuzwa kazi hovyo hovyo, POMBE humfanya mtu Kukurupuka katika maamuzi, POMBE husababisha mtu kufanya mambo kwa kutafuta sifa! Ndiyo maana utakuta mtu anamaliza mshahara wake baa!

Ukiona mtumiaji wa POMBE anaiongoza vizuri familia yake basi shukuru MUNGU. Ukiona mtumiaji wa POMBE anabana matumizi pia mshukuru sana MUNGU maana wengi hutumia fedha zao vibaya.

Mtumiaji wa POMBE huwa ana mipango mingi mizuri sana hasa ya kukuza uchumi wake na wa familia yake lakini mipango yake haitimii kwa sababu ya Maamuzi ya Kukurupuka au kutaka sifa mbele za watu.

Mtumiaji wa POMBE hujiona yuko juu ya wote. Hujiona baunsa ni yeye, mbabe ni yeye, mwenye nguvu ni yeye! Akili ya mtumiaji wa POMBE humfanya ajione yuko sahihi kila wakati na hataki ushauri!

Kwani hujawahi kuona mtu kanywa POMBE kisha kaleta ugomvi?? Hujawahi kuona mtu kanywa POMBE kisha akataka hata kuvua nguo mbele za watu?? POMBE zikiisha kichwani anatafuta Mjumbe wa nyumba kumi kufanya SULUHU kwa watu alio gombana nao! Upuuzi mtupu!

Ukiona mtumiaji wa POMBE amefanikiwa sana, tazama walio mzunguka! Usimsifie mtumiaji wa POMBE aliye fanikiwa, wasifie wanao mshauri na hasa wanao mpinga kila wakati maana wanamfanya kushtuka kwamba umri haurudi nyuma, kuna uzee, ujana una mwisho na fedha ni maua!

Tufanye kazi, tuweke akiba, tuwe wazalendo kwa familia zetu, tutunze afya zetu pia. Huu ni ushauri wangu wa bure kwenu watumiaji na pia ni funzo kubwa kwa wale wanao onja onja au wanatamani kuanza kutumia POMBE.

NB: Msema kweli ni mpenzi wa MUNGU, hata maandiko matakatifu yanakataza POMBE, muulizeni Nuhu kilimkuta nini baada ya kutumia POMBE.

"Wenye akili pana wame elewa na wata acha kutumia POMBE".
 
Dah...Wewe unasema leo wakati bajeti yetu inakaribia utekelezaji?? Ningewashauri waache wakati wa kupanga bajeti ijayo. Kuacha waache baada ya utekelezaji wa bajeti 2016/17 maana pesa zao zimeingizwa tayari kwenye bajeti
 
POMBE yaani kilevi ni hatari sana kwa ukuaji wa uchumi wako! Kwa mfano unakunywa POMBE ile inayo kaa kwenye CHUPA ya KIJANI, inaitwa castle lite (ya gharama) Utajenga nyumba kwa pesa za kibubu?? Huu ni mfano wa kawaida kabisa.

Yaani acha ile kunywa kwa ofa, yaani unakunywa KWELI KWELI ukimaliza kunywa UNALALA MBELE bila kulipa unaishi kwa madeni na kujificha kama kobe! Ha ha ha ha ha ha

POMBE husababisha watu kufukuzwa kazi hovyo hovyo, POMBE humfanya mtu Kukurupuka katika maamuzi, POMBE husababisha mtu kufanya mambo kwa kutafuta sifa! Ndiyo maana utakuta mtu anamaliza mshahara wake baa!

Ukiona mtumiaji wa POMBE anaiongoza vizuri familia yake basi shukuru MUNGU. Ukiona mtumiaji wa POMBE anabana matumizi pia mshukuru sana MUNGU maana wengi hutumia fedha zao vibaya.

Mtumiaji wa POMBE huwa ana mipango mingi mizuri sana hasa ya kukuza uchumi wake na wa familia yake lakini mipango yake haitimii kwa sababu ya Maamuzi ya Kukurupuka au kutaka sifa mbele za watu.

Mtumiaji wa POMBE hujiona yuko juu ya wote. Hujiona baunsa ni yeye, mbabe ni yeye, mwenye nguvu ni yeye! Akili ya mtumiaji wa POMBE humfanya ajione yuko sahihi kila wakati na hataki ushauri!

Kwani hujawahi kuona mtu kanywa POMBE kisha kaleta ugomvi?? Hujawahi kuona mtu kanywa POMBE kisha akataka hata kuvua nguo mbele za watu?? POMBE zikiisha kichwani anatafuta Mjumbe wa nyumba kumi kufanya SULUHU kwa watu alio gombana nao! Upuuzi mtupu!

Ukiona mtumiaji wa POMBE amefanikiwa sana, tazama walio mzunguka! Usimsifie mtumiaji wa POMBE aliye fanikiwa, wasifie wanao mshauri na hasa wanao mpinga kila wakati maana wanamfanya kushtuka kwamba umri haurudi nyuma, kuna uzee, ujana una mwisho na fedha ni maua!

Tufanye kazi, tuweke akiba, tuwe wazalendo kwa familia zetu, tutunze afya zetu pia. Huu ni ushauri wangu wa bure kwenu watumiaji na pia ni funzo kubwa kwa wale wanao onja onja au wanatamani kuanza kutumia POMBE.

NB: Msema kweli ni mpenzi wa MUNGU, hata maandiko matakatifu yanakataza POMBE, muulizeni Nuhu kilimkuta nini baada ya kutumia POMBE.

"Wenye akili pana wame elewa na wata acha kutumia POMBE".
Asee we kiboko....mdogo wake Shaaban Robert...tutakunywa soda na juisi tu...
 
Sijui kwanini huwa nawachukia sana watu wanaoisema vibaya bia
 
Hizi ni dalili za kufirisika kisiasa na kukosa hoja.Sasa mmeanza kutunga mashairi hii inathibitisha ni kwa kiwango gani mko nje ya reli.
 
Nakubaliana na wewe kwa asilimia kubwa iwapo tu na wewe ulikuwa mtumiaji wa POMBE kwa wale jamaa wa mlima mkubwa POMBE ni sehemu ya maisha na wamefanikiwa sana kiutchumi hapa watujuzani?
 
Unaizungumzia ile "POMBE" kali inayotokea/tengenezwa kanda ya ziwa?.
 
POMBE yaani kilevi ni hatari sana kwa ukuaji wa uchumi wako! Kwa mfano unakunywa POMBE ile inayo kaa kwenye CHUPA ya KIJANI, inaitwa castle lite (ya gharama) Utajenga nyumba kwa pesa za kibubu?? Huu ni mfano wa kawaida kabisa.

Yaani acha ile kunywa kwa ofa, yaani unakunywa KWELI KWELI ukimaliza kunywa UNALALA MBELE bila kulipa unaishi kwa madeni na kujificha kama kobe! Ha ha ha ha ha ha

POMBE husababisha watu kufukuzwa kazi hovyo hovyo, POMBE humfanya mtu Kukurupuka katika maamuzi, POMBE husababisha mtu kufanya mambo kwa kutafuta sifa! Ndiyo maana utakuta mtu anamaliza mshahara wake baa!

Ukiona mtumiaji wa POMBE anaiongoza vizuri familia yake basi shukuru MUNGU. Ukiona mtumiaji wa POMBE anabana matumizi pia mshukuru sana MUNGU maana wengi hutumia fedha zao vibaya.

Mtumiaji wa POMBE huwa ana mipango mingi mizuri sana hasa ya kukuza uchumi wake na wa familia yake lakini mipango yake haitimii kwa sababu ya Maamuzi ya Kukurupuka au kutaka sifa mbele za watu.

Mtumiaji wa POMBE hujiona yuko juu ya wote. Hujiona baunsa ni yeye, mbabe ni yeye, mwenye nguvu ni yeye! Akili ya mtumiaji wa POMBE humfanya ajione yuko sahihi kila wakati na hataki ushauri!

Kwani hujawahi kuona mtu kanywa POMBE kisha kaleta ugomvi?? Hujawahi kuona mtu kanywa POMBE kisha akataka hata kuvua nguo mbele za watu?? POMBE zikiisha kichwani anatafuta Mjumbe wa nyumba kumi kufanya SULUHU kwa watu alio gombana nao! Upuuzi mtupu!

Ukiona mtumiaji wa POMBE amefanikiwa sana, tazama walio mzunguka! Usimsifie mtumiaji wa POMBE aliye fanikiwa, wasifie wanao mshauri na hasa wanao mpinga kila wakati maana wanamfanya kushtuka kwamba umri haurudi nyuma, kuna uzee, ujana una mwisho na fedha ni maua!

Tufanye kazi, tuweke akiba, tuwe wazalendo kwa familia zetu, tutunze afya zetu pia. Huu ni ushauri wangu wa bure kwenu watumiaji na pia ni funzo kubwa kwa wale wanao onja onja au wanatamani kuanza kutumia POMBE.

NB: Msema kweli ni mpenzi wa MUNGU, hata maandiko matakatifu yanakataza POMBE, muulizeni Nuhu kilimkuta nini baada ya kutumia POMBE.

"Wenye akili pana wame elewa na wata acha kutumia POMBE".
Mkuu kwa leo nimekusamehe kwa sababu wewe ni ukawa mwenzangu, ila ukitaka kugombana na mnywaji mwaga pombe yake
 
Pombe inahamasisha jeur ya cheo na nguvu ukinywa na kulewa hata kama huna kampuni utamwagiza wa chini yako kwa madaraka uliyo nayo unaweza kuajiri na kufukuza usiwazie gharama zinazoweza kujitokeza.
 
Back
Top Bottom