Pombe na wanawake chepi ni chanzo cha humasikini?

mosesnicolus

JF-Expert Member
Nov 28, 2013
285
25
katika fikira na mtazamo pombe na wanawake kipi huludisha maendeleo nyuma, chepi kati yahaa huleta umasikini katika jamii?
 
Pombe inainua uchumi wa nchi, wanawake aka akina mama ndio wazalishaji wakuu hasa vijijini hivyo wanasaidia kuondoa umaskini.
 
Vyote vinarudisha maendeleo nyuma, ila mkuu jitahidi kuandika vizuri. #Ni hayo tu.
Kaka, huyo ukimuuliza atakwambia Ana digrii ya Chuo Kikuu, akinyimwa kazi atadai kakosa sababu ya upendeleo. Kumbe hata kuandika hajui, Nina wasiwasi na kusoma na ku hesabu ndio kabisaaa. Atusaidie nini maana ya "CHEPI" labda tunaweza kumsaidia
 
Chepi > kipi
humasikini > umasikini
huludisha > hurudisha
yahaa > ya haya

Nadhani ulikuwa na nia nzuri tu ya kuandika hii mada, jaribu kurekebisha hayo maneno uliyokosea hapo juu. Nina wasiwasi huenda ulikuwa "pombe" wakati unaandika huu waraka.
 
hakuna hata kimoja inategemea na wewe hivi vitu unavitumiaje.................... matumizi yako yanatengeneza future yako ya badae..
 
Unamaanisha nini ukisema wanawake wanarudisha nyuma maendeleo wakati asilimia saidi ya sabini ya watu wanaofanya kazi Tz ni wanawake. Mama yako ni pombe au ni mmama. Unamlinganisha mama yako na pombe ? khubhavuh zako
 
Mkuu mleta mada hakika umewakwaza
members wengi sana humu ndani hasa
kichwa cha habari yako pamoja na

Ulichoandika vimejaa sana Ukakasi
yaani kama vile chekechea! Khaaa!
Rejea kwenya andiko lako ufanye
masahihisho vizuri,
 
kula bia wewe achana na papuchi ila ukiona umeanza kumtamani "baamedi" sepa home fasta huo ni muda wa mkeo
 
Jamaaa mmoja alishiinda millioi 100 kwenye bahati nasibuu ya beer!
Mwingine alihogwa nyumba, shamba na asset nyingine baada ya kazi nzurri kwa mrembo wake!

nani alipata uumaskini hapo?
 
vyote. lakini kumbuka kama vipi tumia vyote kwa kiasi. ukizidisha tu umekwisha jombaa:
 
Unamaanisha nini ukisema wanawake wanarudisha nyuma maendeleo wakati asilimia saidi ya sabini ya watu wanaofanya kazi Tz ni wanawake. Mama yako ni pombe au ni mmama. Unamlinganisha mama yako na pombe ? khubhavuh zako

hey bude i did'nt point ur mum hapa! what am try point its a parson who drinks alcohol to the maximum level Vs a person who ----s our sisters as a daily usage jst becoz has cash. " khubhavuh zako"what does that shit f****k means?can yo explain coz i dnt get it
 
Back
Top Bottom