mosesnicolus
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 285
- 25
katika fikira na mtazamo pombe na wanawake kipi huludisha maendeleo nyuma, chepi kati yahaa huleta umasikini katika jamii?
katika fikira na mtazamo pombe na wanawake kipi huludisha maendeleo nyuma, chepi kati yahaa huleta umasikini katika jamii?
Kaka, huyo ukimuuliza atakwambia Ana digrii ya Chuo Kikuu, akinyimwa kazi atadai kakosa sababu ya upendeleo. Kumbe hata kuandika hajui, Nina wasiwasi na kusoma na ku hesabu ndio kabisaaa. Atusaidie nini maana ya "CHEPI" labda tunaweza kumsaidiaVyote vinarudisha maendeleo nyuma, ila mkuu jitahidi kuandika vizuri. #Ni hayo tu.
katika fikira na mtazamo pombe na wanawake kipi huludisha maendeleo nyuma, chepi kati yahaa huleta umasikini katika jamii?
siku nyingine jitahidi kuandika kwa lugha fasaha
Unamaanisha nini ukisema wanawake wanarudisha nyuma maendeleo wakati asilimia saidi ya sabini ya watu wanaofanya kazi Tz ni wanawake. Mama yako ni pombe au ni mmama. Unamlinganisha mama yako na pombe ? khubhavuh zako