Pombe na sigara ni kitulizo kizuri sana mpenzio akikuuzi

Mwagitho

Senior Member
Oct 11, 2013
111
38
Unajua ndani ya ndoa au mnapoishi mke na mume hamkosi kutofautiana, nimechunguza nimeona hivi vitu huwa vinapunguza sana machungu, mimi nikiuziwa huwa najivutia zangu SM naona ndizo zinazonipunguzia hasira ingawa pombe sinywi, sijui wenzangu mnafanyaje?
 
hata uwe "mthaminishaji a.k.a muonjaji" kule TCC ama TBL haitobadili wala kusaidia chochote..
 
Back
Top Bottom