Unajua ndani ya ndoa au mnapoishi mke na mume hamkosi kutofautiana, nimechunguza nimeona hivi vitu huwa vinapunguza sana machungu, mimi nikiuziwa huwa najivutia zangu SM naona ndizo zinazonipunguzia hasira ingawa pombe sinywi, sijui wenzangu mnafanyaje?