Ukilewalala
JF-Expert Member
- Feb 18, 2018
- 542
- 1,105
Pombe, punyeto na sigara kuacha ni ngumu sanaSema mwenyewe nataka niache ila sasa kuna nguvu inanishinda
Inabidi ujitutumue sana tofauti na hapo utakuwa unapumzika tu kwa muda
Pombe, punyeto na sigara kuacha ni ngumu sanaSema mwenyewe nataka niache ila sasa kuna nguvu inanishinda
Pombe za kawaida mkuu, sometimes kuna kuzidisha ila sio Mara zote pia kwa mwezi naweza tumia Mara 2au 3
Unadhani ni vingapi havipendi kwako!? Ukiacha pombe, unadhani hakitafuata kingine!? Binafsi, kwa kitu ambacho alikikuta ninacho na akakubali kuishi nami, kukiacha itakuwa ngumu THIS IS FOR THE SAKE OF CONTROL... Hataishia hapo huyo, akitoka kwenye pombe atahamia kwenye KINGINE...Wakuu tangu nianze kuishi na huyu bibie amani imepungua ndani kisa ni Mimi kunywa pombe, kabla alijuwa na alikuwa ananiona nakunywa hadi tukaanza kuishi pamoja.
Simtukani, simfanyii fujo, matumizi nampa, every thing nahudumia ila tu akiona nimelamba gambe anamind sana.
Wazoefu wa hizi mambo nifanyeje maana naona kuacha kabisa nimeshindwa nimeshatumia dawa za kienyeji ili kuacha lakini zinagonga mwamba sioni matokeo chanya.
Ni hayo tu wakuu. Nategemea ushauri wenu ninusuru mahusino yangu.
Wakuu tangu nianze kuishi na huyu bibie amani imepungua ndani kisa ni Mimi kunywa pombe, kabla alijuwa na alikuwa ananiona nakunywa hadi tukaanza kuishi pamoja.
Simtukani, simfanyii fujo, matumizi nampa, every thing nahudumia ila tu akiona nimelamba gambe anamind sana.
Wazoefu wa hizi mambo nifanyeje maana naona kuacha kabisa nimeshindwa nimeshatumia dawa za kienyeji ili kuacha lakini zinagonga mwamba sioni matokeo chanya.
Ni hayo tu wakuu. Nategemea ushauri wenu ninusuru mahusino yangu.
Sasa mm sinywi kijinga hivo utapata wapi nafasi ya ujinga huo, nakunywa pombe inatosha naenda home nikiwa fiti.Tulikuwa na mshkaji kama wewe mlevi sana ila alishaacha baada ya kumvunjia yai bichi kwenye tigo kama mara mbili hivi sasa hataki kusikia kabisa kitu kinachoitwa pombe
Sasa mm sinywi kijinga hivo utapata wapi nafasi ya ujinga huo, nakunywa pombe inatosha naenda home nikiwa fiti.
Kaikuta pombe mkuu.Kwani pombe na yeye kipi kimemkuta mwenzake?
Vipi Pombe inasemaje kwa upande wake?
Anyways nakushauri tumia kwa Kiasi usimkere maana hiyo ni starehe yako japo hatujajua imekukolea vipi
Sent from my SM-J720F using JamiiForums mobile app
mbona wenye 40 wanakunywa na maisha fresh tu hawana tatizo loloteKuna Umri ukifika unaachana na na UJANA ili mambo yaende.
Mwanamke wako anakutaka uwe Mwanaume Bora ambaye utakua mfano kwa watoto wako.
Hataki baadae watoto wakuone baba ni chapombe.
Kwa sasa hamna watoto nalabda upo kwa age ya 28-35 huwez ona tatizo.
Subiri ukishagonga 40 , ndo utajua kwann mkeo alikua anakukataza .
hakuna mlevi wa pombe mwenye nguvu za??? acha kujidanganya kijana uliza vzr wanawake wanayo kutananayoOhoooo ACHA kujiendekeza, kabla Pombe haijakushinda.
Embu jitahidi kubadilika kwaajili yako. Nayake na watoto wako baadae.
Amini nakuambia, huyo mwanamke wakat ule anakukubalia nisababu alikua hajawa na mawazo yakua Mama wa nyumba ,mama watoto.
Ila kwa sasa amekua nayo.
Lkn pia ngoja nikupe ushauri mdogo tu utanishukuru
Ukiwa umelewa mawazo na K ya mkeo ynakua hayapo, yakiwepo utapiga ili mradi. Ukipiga ilimradi humfikishi popote..
Hamna mlevi wa Pombe mwenye nguvu za kiume.
Embu jitahidi mkuu, achana na mazingira shawishi, naamini unaweza, rejea kwa ushauri wa mkeo.
USHAURI WA MAMA YAKO, NA USHAURI WA MKEO ASILIMIA KUBWA HUWA NI KWAAJILI YA FAIDA YAKO MWENYEWE.
Nitakuvunjia mm kwako sasa
Ndio walevi, wee kama bado unapiga vzuri, ujue bado haijakuathiri.hakuna mlevi wa pombe mwenye nguvu za??? acha kujidanganya kijana uliza vzr wanawake wanayo kutananayo
Carlos,carlos!!Kwa habari za kunyapia nyapia
Mwenye uzi anakunywa pombe mpaka anaanza kuongea cha kimalikia